Vitu vya kuburudisha Burudika na Tunda Tumia funguo ya namba kutatua chemsha bongo hizi. 1 = embe 2 = tunda la joka 3 = tufaha 4 = llimau 5 = komamanga komamanga – limau + tufaha = Tunda la joka + embe + komamanga = limau – tufaha + tunda la joka = embe + komamanga – limau =