2021
Wapendwa Wazazi
Septemba 2021


Wapendwa Wazazi,

Picha
letter to parents

Sisi sote tunapenda familia zetu za duniani. Lakini sio daima tunaelewana kikamilifu. Ni kawaida kuwa na migongano na hisia za kuumizana nyakati nyingine. Lakini tunaweza kufanya kazi pamoja ili kuwaponya wale tuliowaumiza na kuwa karibu zaidi na kila na mmoja.

Kuweni wapatanishi katika nyumba yenu. Wafundisheni watoto wenu jinsi ya kusuluhisha ugomvi, kuwa wakarimu, wenye kusamehe, na kujaribu kuwa wema kila siku. Kwa pamoja, mnaweza kuifanya nyumba yenu kuwa mahali pa upendo zaidi na pa amani. Unaweza kuanza na baadhi ya mawazo kutoka hadithi hii ukurasa wa10.

Kwa upendo,

Rafiki

Chapisha