2021
Dama pamoja na Marafiki
Septemba 2021


Dama pamoja na Marafiki

Picha
girl playing hopscotch outside

Daya anapenda kucheza dama na marafiki zake.

Picha
girl holding out one stone

Siya na Ishika wana jiwe moja tu la kucheza nalo.

Picha
girl with arms around two friends

Daya ana wazo!

Picha
girl holding two small stones

Anatapata mawe mawili nyasini.

Picha
three girls each holding stone in hand

Sasa wote wanaweza kucheza pamoja.

Picha
three girls playing hopscotch together

Daya anafurahi kuwa anaweza kuwasaidia marafiki zake kuwa na furaha!

Mkarimu kwa Wengine

Picha
faces of different family members

Ni kwa njia gani nyingine unaweza kuonyesha ukarimu wako kwa wengine? Je, wao wameonyeshaje ukarimu kwako?

  • Mama

  • Baba

  • Dada

  • Kaka

  • Mwalimu

  • Rafiki

  • Babu

  • Shangazi

Vielelezo na Lisa M. Griffin

Chapisha