2023
Mpango kwa ajili Yangu
Januari 2023


Njia Yangu ya Agano

Mpango kwa ajili Yangu

Unapomfuata Yesu, utapata baraka za kuvutia katika njia yako!

Picha
Page from the January 2023 Friend Magazine. My Covenant Path: A Plan for Me

Wewe ni mtoto wa Mungu, na una madhumuni maalum. Katika kila gazeti la Rafiki mwaka huu, utajifunza kuhusu baraka moja kwenye njia yako ya agano ya kurudi kuishi Naye siku moja.

Jina langu:

Mwaka wa kuzaliwa:

Familia Yangu:

Rafiki yangu wa dhati:

Ni lini na wapi nilibatizwa au nitabatizwa:

Wakati nilipomhisi Roho Mtakatifu:

Ushuhuda Wangu:

Lini nitapata kibali changu cha hekaluni:

Mahekalu ninayotaka kwenda:

Chapisha