2023
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Januari 2023


Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
A picture of Gabriel Nunes.

Gabriel N., umri miaka 8, Dumfries, Scotland

Picha
Picture of Gustavo Nunes.

Gustavo N., umri miaka 8, Dumfries, Scotland

Picha
Child's art of Jesus Christ with his name in multiple languages. Created by Vivian Hernandez.

Vivian H., umri miaka 10, California, Marekani

Picha
Artwork by Janessa Jayakaran.

Janessa J., umri miaka 6, Tamil Nadu, India

Picha
A temple made out of legos by Maelle Nelson.

“Hekalu,” Maelle N., umri miaka 7, Alberta, Kanada

Picha
Artwork of Matt and Mandy by Lucy Whitby.

“Matt na Mandy,” Lucy W., umri miaka 12, Utah, Marekani

Picha
A picture of Alzbeta Novotna.

Ninamsaidia hisabati rafiki yangu shuleni. Ninajaribu kumfuata Mwokozi kwa kuwasaidia wengine.

Alžběta N., miaka 8, Pardubice, Czech Republic

Picha
Picture of Benyamine Barrientos Alvarenga.

Nilijiandaa kwa ubatizo wangu kwa kusikiliza maandiko, kusoma gazeti la Rafiki, na kusali. Wakati nilipobatizwa, nilihisi furaha kuliko nilivyohisi awali.

Benyamine B., umri miaka 8, Arica, Chile

Picha
A picture of Ann-Catleen Djeenly Azor.

Ninapenda kufundisha somo katika jioni ya nyumbani.

Ann-Catleen A., umri miaka 9, Ouest, Haiti

Picha
Picture of Sylus Bee.

Niliugua nikiwa safarini. Familia yangu iliomba kwa ajili yangu, nikanywa dawa na baba yangu aliponipatia baraka za ukuhani. Haya yote yalinisaidia nihisi vizuri zaidi!

Sylus B., umri miaka 6, Texas, Marekani

Picha
Picture of Milla Yatchnenogg.

Nilisaidia kuweka pipi katika pinata kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ya dada yangu. Nilihisi furaha kwa sababu ningeweza kusaidia.

Milla Y., umri miaka 6, Alaska, Marekani

Picha
Picture of Beckham Shepherd.

Mimi ni mwema kwa marafiki zangu na kaka yangu kwa sababu inawafanya wao kuwa na furaha, na hunifanya mimi kuwa na furaha.

Beckham S., umri miaka 7, Alabama, Marekani

Chapisha