Kitu cha kufurahisha
Safari kwenda Misri
Picha
Page from the January 2023 Friend Magazine. FUNSTUFF: Journey to Egypt
Baada ya Mamajusi kumwona Yesu, malaika amjia Yusufu katika ndoto. Malaika walisema kwamba Yesu alikuwa hatarini. Alisema wanapaswa kwenda Misri, ambapo wangekuwa salama (ona Mathayo 2:13–14). Fuata mzingile ili kumsaidia Mariamu, Yusufu na Yesu kupata njia ya kwenda Misri.
Kielelezo na Paige McLaughlin