Kitu cha kufurahisha Kitafute! Familia hii inafanya shughuli kuhusu malengo kutoka ukurasa wa 7 kwa ajili ya jioni ya nyumbani. Je, unaweza kupata picha nne ambazo familia ilichora kutokana na malengo yao? Kisha tafuta vitu vingine vilivyofichwa. Vielelezo na Carolina Farías