2023
Marafiki Wapendwa
Januari 2023


Marafiki Wapendwa,

Picha
Painting of Jesus Christ holding an oil lamp.

Je, mnajua kauli mbiu ya gazeti la Rafiki? (Kidokezo: Mnaweza kuipata kwenye jalada la mbele la kila toleo.) Ni “Kumfuata Yesu Pamoja”! Fungua ukurasa wa 14 ili kujifunza kuhusu baadhi ya watoto kutoka Uingereza ambao wanamfuata Yesu kwa kuzisaidia familia zao.

Mwezi huu pia utaona mfululizo wa michoro ya katuni kuhusu Margo na Paolo na mizunguko yao huko Brazil. Fungua ukurasa wa 32 ili ukutane na familia zao na kasuku wao, Kiwi!.

Kwa upendo,

Gazeti la Rafiki

Mawazo ya Ziada. Tungependa kusikia jinsi mnavyomfuata Yesu huko ninyi mnakoishi. Jibu tu maswali kwenye ukurasa wa 13 na utume majibu!

Chapisha