2023
Ninaweza Kusoma Agano Jipya
Januari 2023


Ninaweza Kusoma Agano Jipya

Picha
Page from the January 2023 Friend Magazine. I Can Read the New Testament

Mwaka huu ninaweza kujifunza kuhusu maisha ya Yesu Kristo na Mitume Wake. Soma mistari kwenye ukurasa wa 26 kwa ajili ya kila wiki. Kisha paka rangi kwenye sehemu zinazoendana kwenye ukurasa huu.

Chati ya Kusoma ya Agano Jipya

Picha
Page from the January 2023 Friend Magazine. New Testament Reading Chart

Mistari hii huenda sambamba na masomo ya Njoo, Unifuate kwa ajili ya kila wiki katika mwaka 2023. Paka rangi kwenye sehemu zinazooana kwenye kurasa za 24–25.

  1. Mathayo 1:21–23; Luka 1:30–32

  2. Luka 2:42–49, 52

  3. Yohana 1:3–5, 9–12

  4. Mathayo 3:13–17

  5. Luka 5:4–11

  6. Yohana 3:16–17; 4:7–14

  7. Mathayo 5:13–16

  8. Mathayo 7:24–27

  9. Marko 4:36–39

  10. Mathayo 9:20–22, 35

  11. Mathayo 11:28–30

  12. Mathayo 13:44–46

  13. Mathayo 14:24–33

  14. Mathayo 28:1–2, 5–8; Yohana 20:19–21

  15. Mathayo 15:32–38

  16. Luka 10:30–37

  17. Yohana 9:1–7

  18. Luka 17:11–19

  19. Marko 10:13–16

  20. Mathayo 22:36–40

  21. Mathayo 25:1–13

  22. Mathayo 26:26–29; Yohana 13:34–35

  23. Yohana 15:9–12

  24. Luka 22:39–44

  25. Yohana 19:1–3, 16, 40–41

  26. Yohana 20:11–18

  27. Matendo ya Mitume 3:1–10

  28. Matendo ya Mitume 9:3–6, 17–18

  29. Matendo ya Mitume 12:5–11

  30. Matendo ya Mitume 17:24, 28–29

  31. Matendo ya Mitume 27:18, 21–25, 40, 43–44

  32. Warumi 1:16–17; 5:1–5

  33. Warumi 8:35, 37–39

  34. 1 Wakorintho 2:9–11

  35. 1 Wakorintho 12:4, 8–11

  36. 1 Wakorintho 15:55, 57–58

  37. 2 Wakorintho 5:17–18, 20

  38. 2 Wakorintho 9:15; 12:9–10.

  39. Wagalatia 5:22–23; 6:9–10

  40. Waefeso 2:19–20; 4:11–13

  41. Wafilipi 4:7–8, 13

  42. 1 Wathesalonike 5:11, 16–18

  43. 1 Timotheo 4:10–12; 2 Timotheo 1:7–8

  44. Waebrania 5:8–9; 6:15, 19

  45. Waebrania 11:1–3, 6–11

  46. Yakobo 1:5–6, 22, 27

  47. 1 Petro 3:18–20; 2 Petro 1:5–7

  48. 1 Yohana 2:28; 3:1–3, 23–24

  49. Ufunuo 3:20–22

  50. Ufunuo 12:7–11; 14:6–7.

  51. Luka 2:8–17

  52. Ufunuo 21:3–4, 6–7

Vielelezo na Corey Egbert

Chapisha