2023
Yesu Ndiye Nuru Yetu
Januari 2023


Kutoka Urais wa Kwanza

Yesu Ndiye Nuru Yetu

Imetoholewa kutoka “Nuru na Uzima wa Ulimwengu,” Ensign, Nov. 1987, 63–66.

Picha
Jesus Christ standing among the Nephites

Baada ya Yeye kufufuka, Yesu alienda kuwatembelea baadhi ya watu katika Amerika. Akiwa amevalia joho jeupe, Yeye alishuka toka mbinguni. Yeye alinyosha mkono Wake na kusema, “Tazama, Mimi Ndimi Yesu Kristo. … Mimi ndimi nuru na uzima wa ulimwengu” (3 Nefi 11:10–11).

Yesu ndiye Nuru ya Ulimwengu kwa sababu mafundisho na mfano Wake huangaza njia yetu ya kurudi kwa Baba wa Mbinguni.

Kuangaza Njia Yetu

Picha
Page from the January 2023 Friend Magazine. Lighting Our Way

Rais Oaks alituambia njia nne ambazo Yesu huangaza njia yetu. Tafuta maandiko ambayo yanaoana katika kila njia.

  1. Mfano Wake hutuonesha nini tunapaswa kufanya.

  2. Yeye hutusaidia kujua kile kilicho sawa na kisicho sawa.

  3. Nguvu Zake hutusaidia kutaka kufanya mambo mema.

  4. Nuru Yake hutuongoza katika nyakati ngumu.

  1. Moroni 7:16–17

  2. 3 Nefi 18:16

  3. 1 Nefi 17:13

  4. Etheri 4:11–12

Mchoro na John Scott; Vielelezo na Shawna J. C. Tenney

Chapisha