2021
Hujambo
Januari 2021


“Hujambo,” Kwa ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Januari 2021, ndani ya jalada la mbele.

Hujambo

Hili hapa jarida lako jipya.

Picha
vijana

Kwa ajili ya Nguvu Kwa Vijana ni jarida lako, lililoandaliwa hasa kwa vijana.

Katika kila toleo utapata kitu cha kipekee. Tutakuwa na jumbe za kukuinua kiroho kutoka kwa Mitume na viongozi wengine, shuhuda na uzoefu kutoka kwa vijana, shughuli za burudani na mengine mengi.

Katika sehemu hii tutaangazia vijana kutoka kote ulimwenguni wakisimulia kuhusu mambo wanayopenda kufanya na kutueleza kidogo kuhusu maisha yao. Tungependa kushiriki simulizi zako pia! Tutumie ujumbe ukitueleza kuhusu mambo unayopenda kufanya, kifungu cha maandiko unachokipenda, maelezo kuhusu familia yako na uzoefu mfupi ambapo ulihisi unahitaji msaada kutoka kwa Bwana. Tuandikie barua pepe kwenye ftsoy@ChurchofJesusChrist.org.

Chapisha