2021
Joseph Smith Mdogo
Januari 2021


“Joseph Smith,” Kwa ajili ya Nguvu kwa Vijana, Jan. 2021, 33.

Watu kutoka Historia ya Kanisa

Joseph Smith Mdogo

Picha
Joseph Smith Mdogo
  • 1805–1844

  • Alikuwa na watoto 11

  • Alimiliki mbwa aliyeitwa Meja.

  • Akiwa kijana, maombi yake ya dhati yaliongoza kwenye Ono la Kwanza, kujitokeza kwa Kitabu cha Mormoni na Urejesho unaoendelea. Alikuwa Rais wa kwanza wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho.

Chapisha