Januari 2021 HujamboKaribuni kwenye chapisho jipya la vijana wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Urais wa KwanzaUjumbe kutoka kwa Urais wa KwanzaUrais wa Kwanza unawatambulisha vijana kwenye jarida lao jipya, Kwa ajili ya Nguvu Kwa Vijana. Rais M. Russell BallardKusudi Kuu la UrejeshoRais Ballard anafafanua jinsi kazi ya Urejesho ilivyoanza, jinsi Joseph na Hyrum Smith walivyouawa kwa ajili ya urejesho huo, na jinsi unavyoendelea hii leo. Jun HoriUfadhili wa UyogaKijana anajifunza kuhusu upendo wa familia baada ya kufahamu sababu za familia yake kukuza uyoga, ambao anauchukia. Njoo, UnifuateDavid A. EdwardsJoseph Smith—Nabii WanguFahamu jinsi kusoma mafundisho ya Joseph Smith kunavyoweza kumfanya awe nabii “wako”. Njoo, UnifuateEric B. Murdock na Lance FryJibu kwa OliverOliver Cowdery anapata habari kuhusu Joseph Smith na kutafsiriwa kwa Kitabu cha Mormoni na anaomba ili ajue kama kazi hiyo ni ya kweli. Njoo, UnifuateAnnalise GardinerMafundisho na Maagano: MuhtasariMuhtasari wa utangulizi wa Mafundisho na Maagano kwa ajili ya kujifunza mwaka huu. Sam LofgranKujifunza Lugha ya Roho MtakatifuKujifunza kutambua na kumfuata Roho Mtakatifu kunaweza kuwa kama kujifunza lugha mpya. Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2021 Mstari baada ya mstariJenga MsingiUchanganuzi na ufafanuzi wa andiko la Dhima ya vijana kwa mwaka 2021, Mafundisho na Maagano 64:33–34. Viongozi Wakuu wa Wasichana na WavulanaKazi KuuUrais Mkuu wa Wasichana na Wavulana unawafunza vijana kuhusu kushiriki katika kazi kuu zaidi iliyopo duniani kwa sasa yenye uhusiano na Dhima ya vijana kwa mwaka 2021. Nyenzo za Dhima za Vijana kwa Mwaka 2021Mabango, tisheti, muziki na nyenzo zingine zinazohusiana na dhima ya vijana kwa mwaka 2021, “Jenga Msingi.” Nik DayKazi Kuu: Wimbo wa Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2021Karatasi ya noti za muziki kwa ajili ya wimbo wa dhima ya vijana kwa mwaka 2021. Kazi Kuu: Bango la Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2021Bango la Dhima ya vijana kwa mwaka 2021: Kazi Kuu. Misingi ImaraKutetea Imani YanguKijana mmoja anawakemea rafiki zake wanaojihusisha na umbeya. Sehemu ya BurudaniShughuli, michezo, na vichekesho kwa ajili ya vijana. Maswali na Majibu Maswali na MajibuMarafiki zangu wote hucheza michezo ya video ya vijana, lakini mimi nimeamua kutocheza. Je, michezo ya video ya vijana INAFAA?Majibu ya swali: “Marafiki zangu wote hucheza michezo ya video ya vijana, lakini mimi nimeamua kutocheza. Je, michezo ya video ya vijana INAFAA?” Kwenye HojaWatu huniambia kuwa ni majivuno kusema kwamba sisi ndilo Kanisa pekee la kweli. Je, napaswa kuwaeleza nini?Jibu la swali: “Watu huniambia kuwa ni majivuno kusema kwamba sisi ndilo Kanisa pekee la kweli. Je, napaswa kuwaeleza nini?” Neno la MwishoRais Russell M. NelsonSikiliza, Tii na FuataRais Nelson anatufunza kuhusu jinsi ya kumsikia Bwana, Kumtii na kufuata neno Lake. Watu kutoka Historia ya KanisaJoseph Smith Jr.Mchoro mfupi wa Joseph Smith.