2023
Kuwa Mpatanishi: Nguvu Yako Kubwa Mpya
Januari 2023


“Kuwa Mpatanishi: Nguvu Yako Kubwa Mpya,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jan. 2023.

Kuwa Mpatanishi: Nguvu Yako Kubwa Mpya

Siyo mashujaa wote wanavaa kofia. Au hata barakoa nzuri.

Picha
ndugu

“Ni zamu yako kukaa katikati!”

“Hapana, ni yako!”

“Mimi nitakaa pale. Hapana, bonge.”

Picha
ndugu wakiwa ndani ya gari
Picha
familia ikiwa jikoni

“Baba! Aliacha sinki likiwa chafu siku ya zamu yangu ya kazi za jikoni!”

“We, naweza kusaidia.”

Picha
ndugu wakifanya kazi za jikoni pamoja
Picha
familia katika asubuhi ya Jumapili

“Kwa nini daima ni vigumu kufika Kanisani mapema?”

Picha
familia katika asubuhi ya Jumapili

Jumapili Ijayo

“Tuliamua kuamka nusu saa mapema zaidi wiki hii!”

Chapisha