Januari 2023 JiungeWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Tojonirina R., mvulana kutoka Madagaska. Urais Mkuu wa Wasichana na WavulanaNjia 4 Ambazo Yesu Kristo Anakuimarisha WeweUrais mkuu wa Wasichana na Wavulana unashiriki mawazo yao juu ya Dhima ya Vijana kwa mwaka 2023 na wanafundisha njia 4 ambazo Yesu Kristo anaweza kutuimarisha sisi kila siku. Rais M. Russell BallardFuata Nuru ya KweliRais Ballard anatufundisha kwamba nuru ya Mwokozi daima ipo kwa ajili yetu. Marissa WiddisonKuelekea kwenye Siku Angavu ZaidiTumaini, msaada na uponyaji vinapatikana kwa wale walionusurika unyanyasaji. Zaidi Kama KristoVijana wanashiriki malengo yao kwa ajili ya kushiriki katika progamu ya Watoto na Vijana. Jan E. NewmanImani katika GizaKaka Newman anaelezea mapendekezo machache ambayo yamemsaidia yeye wakati alipokabiliwa na maswali na mashaka. Njoo, UnifuateEric B. MurcdockAhadi Yetu ya Kuwa NuruKupitia ubatizo, tunaahidi kumfuata Mwokozi na kuinua juu nuru Yake kwa wale walio na uhitaji. Njoo, UnifuateJessica Zoey StrongMuujiza MkubwaMiujiza mitatu ya siku za leo, miujiza mitatu ya kale na ule mmoja mkubwa inatufundisha kuhusu kile inachomaanisha kwamba kwa Mungu, mambo yote yanawezekana. David Dickson na Lance FryKuwa Mpatanishi: Nguvu Yako Kubwa MpyaHadithi ya kielelezo inayoonyesha jinsi kijana anavyoweza kusaidia kuleta amani ndani ya familia. Jessica BrousseauVipawa vya Injili katika GuamMsichana huko Guam anapata urafiki na faraja kupitia injili. Mahali pangu ninapopapenda … pa KutafakariVijana wanaelezea mahali pao wanapopapenda pa kutafakari. Misingi ImaraAnn J.Kujengwa juu ya Ardhi ImaraMsichana anajifunza somo kuhusu ushuhuda kutokana na kumwagilia nyumba maji. Misingi ImaraJyle S.Kupata Furaha katika Huduma ya MuzikiMvulana anayetaka kuacha kujifunza kupiga kinanda anagundua kuhusu shangwe ya kumtumikia Bwana. Misingi ImaraNicolé M.Changamoto ya Chai Marafiki wa msichana walianza kumshinikiza na kumkejeli kwa sababu yeye hakunywa chai. Sehemu ya BurudaniShughuli, michezo, na vichekesho kwa ajili ya vijana. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNyakati zingine nafikiri wazazi wangu wanazidisha ukosoaji juu yangu. Ninawezaje kujibu kwa heshima?Vijana wanajibu swali: “Wakati mwingine nafikiri wazazi wangu wanazidisha ukosoaji juu yangu. Ninawezaje kuwajibu kwa heshima?” Kwenye HojaMamajusi walikuwa akina nani?Jibu la swali: “Je, Mamajusi walikuwa akina nani?” Maeneo kutoka kwenye MaandikoMto YordaniJifunze kuhusu Mto Yordani—kile kilichofanyika hapo na kitu tunachoweza kujifunza kutokana na hicho. Bango la Dhima ya Vijana kwa mwaka 2023Nayaweza Mambo Yote katika KristoBango kuhusu Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2023, “Nayaweza Mambo Yote katika Kristo.” Naweza YoteNaweza Yote