2023
Sehemu ya Burudani
Januari 2023


“Sehemu ya Burudani,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Jan. 2023.

Sehemu ya Burudani

Sehemu ya Burudani

Pakua PDF

Kupaka rangi kwa Nuru

Yesu Kristo ni Nuru ya Ulimwengu. Hebu tuone jinsi nuru yenye rangi inavyokuwa.

Unapochora au kupaka rangi, rangi za msingi ni nyekundu, njano, samawati. Rangi za msingi hasa za nuru ni nyekundu, kijani na samawati. Na kuchanganya nuru kunakupa rangi tofauti kuliko ulivyotegemea. Je, unaweza kubahatisha ni rangi gani michanganiko ya nuru hutengeneza?

Hapa kuna rangi za kuchagua kutoka kwazo:

Sayan

Majenta

Njano

Chungwa

Nyeupe

Violeti

Mambo Yote katika Kristo

Dhima ya vijana kwa mwaka huu inatoka katika Wafilipi 4:13: “Nayaweza mambo yote katika Kristo anitiaye nguvu.” Hebu tufahamu andiko hili lina maana gani kwako. Je, wewe unayawezaje mambo yote katika Kristo? Tuma mawazo yako na picha kwenye ftsoy@churchofjesuschrist.org kwa ajili ya nafasi ya kujumuishwa katika toleo linalokuja!

Kuwaita Wote Wasomaji wa Agano Jipya!

Tunajifunza Agano Jipya mwaka huu. Je, wewe ni mbobezi wa Agano Jipya? Au ni mbashiri mwenye bahati tu? Acha tuone ni vitabu vingapi katika vile 27 vya Agano Jipya unaweza kuviweka katika mpangilio wake (bila kuchungulia!). Kama ukipata 10 au zaidi kwa usahihi, utakuwa umeshinda! Viko vidokezo kadhaa ndani humo vya kukusaidia. (Na kama hautafanya vizuri sana, unao mwaka mzima wa kuwa mbobezi.)

  • ____ Wafilipi

  • ____ Wagalatia

  • ____ Waebrania

  • ____ Marko. Dokezo: Moja ya Injili (inakuja karibu na mwanzoni).

  • ____ Luka. Dokezo: Moja ya Injili (inakuja karibu na mwanzoni).

  • ____ Yuda

  • ____ 2 Wathesalonike

  • ____ 1 Petro

  • ____ Mathayo. Dokezo: Moja ya Injili (inakuja karibu na mwanzoni).

  • ____ 2 Petro

  • ____ 1 Yohana. Dokezo: Haipaswi kuchanganywa na Yohana, 2 Yohana au 3 Yohana.

  • ____ Matendo ya Mitume. Dokezo: Itafute Matendo ya Mitume mara baada ya Injili.

  • ____ Waefeso

  • ____ 2 Wakorintho

  • ____ Tito

  • ____ Yohana. Dokezo: Moja ya Injili (inakuja karibu na mwanzoni).

  • ____ Yakobo

  • ____ Filemoni. Dokezo: Hesabu. Hii iko katika mahali pake sahihi.

  • ____ Warumi

  • ____ 1 Wakorintho

  • ____ 2 Timotheo

  • ____ 3 Yohana

  • ____ 1 Wathesalonike

  • ____ Ufunuo. Dokezo: Mafunuo haya mara nyingi yanahusu MWISHO wa ulimwengu ((na yawezekana yapo mwisho wa kitu kingine pia).

  • ____ Wakolosai

  • ____ 1 Timotheo

  • ____ 2 Yohana

Vichekesho

wavulana wakicheza mpira wa kikapu

Wewe, changamka! Ni kuhusu kuwa chanya tu!

Niko chanya siwezi kudunda!

Ryan Stoker

Majibu

Kupaka rangi kwa Nuru: 1. Chungwa 2. Majenta 3 Zambarau 4. Nyeupe 5 Kahawia 6. Sayan 7. Maruni 8. Njano 9. Urujuani 10. Kijivu

Kuwaita Wote Wasomaji wa Agano Jipya: 1. Mathayo 2. Marko 3. Luka 4. Yohana 5. Matendo ya Mitume 6. Warumi 7. 1 Wakorintho 8. 2 Wakorintho 9. Wagalatia 10. Waefeso 11. Wafilipi 12. Wakolosai 13. 1 Wathesalonike 14. 2 Wathesalonike 15. 1 Timotheo 16. 2 Timotheo 17. Tito 18. Filemoni 19. Waebrania 20. Yakobo 21. 1 Petro 22. 2 Petro 23. 1 Yohana 24. 2 Yohana 25. 3 Yohana 26. Yuda 27. Ufunuo