Mkutano mkuu wa Aprili 2022 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonHubiri Injili ya AmaniRais Nelson anafundisha kwamba tunapaswa kusimama katika sehemu takatifu na kushiriki injili na ulimwengu. M. Russell BallardHuduma ya Umisionari Imebariki Maisha Yangu MileleRais Ballard anafundisha kuhusu baraka za huduma ya umisionari na anawahimiza vijana kujiandaa na kutumikia misheni. Reyna I. AburtoSisi Ni wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu waSiku za MwishoDada Aburto anafundisha kwamba Kanisa la Yesu Kristo linatimiza kazi zake kupitia waumini wake. David A. BednarLakini HatukuwasikizaMzee Bednar anafundisha jinsi maagano na ibada hutusaidia kusonga mbele katika njia ya maagano na “msisilize” kile wengine wanasema. Neil L. AndersenKumfuata Yesu: Kuwa MpatanishiMzee Andersen anaeleza jinsi tunavyoweza kushinda ubishi kwa imani katika Yesu Kristo. Eduardo GavarretBadiliko Kuu la Moyo: “Sina Cha Kukupa Zaidi”Mzee Gavarret anafundisha jinsi ya kupata, kutambua, na kudumisha badiliko la moyo. Larry S. KacherNgazi ya ImaniMzee Kacher anafundisha kwamba imani yetu katika Yesu Kristo inaweza kufungua nguvu za mbingu na kutuimarisha pale tunapozikabili changamoto za maisha. Henry B. EyringImara katika DhorubaRais Eyring anafundisha kwamba tunaweza kubaki imara katika dhoruba za maisha kwa kumtegemea Mwokozi na kuwa kama mtoto. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Dallin H. OaksKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Jared B. LarsonRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2021Jared B. Larson anawasilisha Ripoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa kwa mwaka 2021. Jeffrey R. HollandUsiwe na Hofu: Amini Tu!Mzee Holland anafundisha kwamba tunaweza kuwa na tumaini katika nyakati ngumu kwa sababu ya injili ya Yesu Kristo. Patrick KearonAmefufuka na Uponyaji katika Mbawa Zake: Tunaweza Kuwa Zaidi ya WashindiMzee Kearon anafundisha kwamba manusura wa unyanyasaji hawawajibiki kwa unyanyasaji na wanaweza kutafuta kipawa cha Mwokozi vha uponyaji. Marcos A. AidukaitisInua Moyo Wako na UfurahiMzee Aidukaitis anafundisha vijana kwamba Mungu atawabariki sana wanaposhinda hofu na mashaka na kumtumikia Yeye kama wamisionari. Gerrit W. GongKila Mmoja Wetu Ana HadithiMzee Gong anatualika kupata muunganiko na kuwa wa katika familia ya Mungu kupitia historia yetu ya familia. Adrián OchoaJe Mpango Unafanya Kazi?Mzee Ochoa anafundisha kananuni tatu ili kumsaidia yeyote anayehisi kwamba mpango wa wokovu haufanyi kazi katika maisha yao. Kevin S. Hamilton“Ndipo Nitafanya Mambo Dhaifu Yawe Yenye Nguvu”Mzee Hamilton anafundisha kwamba toba ni muhimu na kwamba tunapojinyenyekeza wenyewe na kuwa na imani katika Yesu Kristo, udhaifu wetu unaweza kufanywa kuwa udhabiti kupitia neema ya Kristo. Quentin L. CookUongofu Kwenye Mapenzi ya MunguMzee Cook anafundisha kwamba uongofu hujumisha kukubali maepnzi ya Mungu, kuimarisha ushuhuda wetu wa Urejesho, na kushiriki baraka za injili. Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Dallin H. OaksUjumbe wa UtambulishoRais Oaks anatambulisha kikao hiki cha kipekee cha mkutano mkuu kilichofokasi juu ya dukuduku za wanawake na vikundi vyao. Susan H. PorterMasomo kutoka KisimaniDada Porter anashiriki masomo matatu anayojifunza na anawaalika wanawake wa Kanisa kufuata mafundisho ya Mwokoziya kuwa kama chumvi, nuru na chachu. Rebecca L. CravenFanya Kilicho Muhimu ZaidiDada Craven anafundisha kwamba tunapojitahidi kufokasi juu ya kile kilicho muhimu zaidi, uhusiano wetu na Mungu utaimarika. Video: “Nyinyi Ndio Wanawake Aliowaona”Video: “Nyinyi Ndio Wanawake Aliowaona”Video hii inajumuisha mafundisho kuhusu wanawake kutoka kwa Rais Nelson na Rais Kimball. Jean B. BinghamMaagano na Mungu Yanatuimarisha, Yanatulinda, na Kutuandaa kwa Ajili ya Utukufu wa MileleRais Bingham anafundisha kwamba kufanya na kuyasika maagano na Mungu hutuletea furaha na usalama sasa na shangwe ya milele katika ulimwengu ujao Dale G. RenlundAsili Yako ya Kiungu na Kudura ya MileleMzee Renlund anatumia dhima ya Wasichana kufundisha kuhusu asili yetu takatifu na kudura ya milele. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi D. Todd ChristoffersonUhusiano Wetu na MunguMzee Christofferson anafundisha kwamba licha ya hali zetu za maisha ya duniani, tunaweza kutumaini kwamba Mungu atatimiza ahadi Zake. Amy A. WrightKristo Huponya Kile KilichovunjikaDada Wright anafundisha kwamba hakuna kitu maishani mwako ambacho kimevunjika ambacho ni zaidi ya nguvu za uponyaji, ukombozi na za kuwezesha za Yesu Kristo. Gary E. StevensonPenda, Shiriki, AlikaMzee Stevenson anafundisha vitu vitatu rahisi sisi sote tunaweza kufanya kushiriki injili: kupenda, kushiriki, na kualika. Katika kufanya hivyo, sisi tunasaidia kutimiza agizo la Mwokozi la “kufundisha mataifa yote.” Michael T. RingwoodKwa Maana Jinsi hii Mungu Alitupenda SisiMzee Ringwood anafundisha jinsi Baba wa Mbinguni alivyomtuma Mwanawe,Yesu Kristo, kama sehemu ya mpango Wake ili kutusaidia sisi kurudi Kwake. Ronald A. RasbandKuuponya UlimwenguMzee Rasband anafundisha njia nne ambazo jamii na watu binafsi wananufaika kutokana na uhuru wa dini na jinsi uhuru huu unavyoweza kuwa ushawishi wa kuunganisha na kuponya. Hugo E. MartinezKufundisha Kujitegemea kwa Watoto na VijanaMzee Martinez anaelezea baraka ambazo huja kutokana na kuishi kanuni za kujitegemea na kushiriki katika programu ya Watoto na Vijana. Russell M. NelsonNguvu ya Msukumo wa KirohoRais Nelson anashiriki njia tano tunazoweza kujenga msukumo wa kiroho: kufanya na kuyashika maagano, kutubu, kujifunza kuhusu Mungu, kutafuta miujiza, na kumaliza mgogoro. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Dallin H. OaksUpendo Mtakatifu katika Mpango wa BabaRais Oaks anafundisha kwamba mpango wa wokovu umejengwa juu ya upendo wa Baba wa Mbinguni kwa ajili yetu. Adeyinka A. OjediranNjia ya Agano: Njia ya Uzima wa MileleMzee Ojediran anafundisha kwamba tunakuja kwa Kristo kupitia maagano, na anaelezea jinsi ambavyo Roho Mtakatifu na sakramenti hutusaidia kuyashika maagano hayo. Jörg KlebingatUanafunzi wa Ujasiri katika Siku za MwishoMzee Klebingat anafundisha kuhusu jinsi ya kuwa mwanafunzi jasiri wa Kristo. Mark L. PaceUongofu Ndiyo Lengo LetuRais Pace anafundisha baraza zinazokuja kutokana na kumsikiliza Roho Mtakatifu na kuwa mwongofu kwenye injili ya Yesu Kristo. Ulisses SoaresKustaajabu juu ya Kristo na Injili YakeMzee Soares anafundisha kwamba tunapostaajabu juu ya Yesu Kristo, tunakuwa na furaha, tunakuwa na shauku zaidi kwa ajili ya kazi ya Mungu na tunatambua mkono wa Bwana katika mambo yote. Randy D. FunkNjoo kwenye Zizi la MunguMzee Funk anashuhudia juu ya baraka ambazo huja kwa wale wanaochagua kuja katika zizi la Mungu kwa kutii injili ya Yesu Kristo. Dieter F. UchtdorfHisia Zetu Zote za MoyoniMzee Uchtdorf anafundisha kwamba tunaweza kutoa nafsi zetu zote kwa Mwokozi kupitia dhabihu na uwekaji wakfu. Russell M. NelsonSasa Ndiyo WakatiRais Nelson anafundisha kwamba sasa ndiyo wakati wa kuishi injili ya Yesu Kristo.