2022
British Columbia, Kanada
Julai/Agosti 2022


“British Columbia, Kanada,” Liahona, Julai/Agosti 2022.

Kanisa Liko Hapa

British Columbia, Kanada

Picha
world map showing British Columbia
Picha
Vancouver ya Kaskazini, British Columbia

Waumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho waliweka makazi kwenye kisiwa cha Vancouver mnamo 1875. Kanisa lilianzishwa kwenye Jiji la Vancouver mnamo 1904. Hivi leo, Kanisa Huko British Columbia lina:

  • Waumini 31,000 (kwa makadirio)

  • Vigingi 8, kata na matawi 79, na misheni 1

  • Hekalu 1

Upendo, Imani, heshima, na Shughuli za Kufurahisha

Picha
familia ikiwa ufukweni

Katika kisiwa cha Vancouver, Brad na Michelle Harris pamoja na watoto hutembea Ufukweni. “Familia zenye mafanikio hujengwa juu ya kanuni za upendo, imani, heshima, na shughuli za kufurahisha,” anasema Michelle. (Ona “Familia: Tangazo kwa Ulimwengu,” ChurchofJesusChrist.org.)

Chapisha