Julai/Agosti 2022 Kanisa Liko HapaBritish Columbia, KanadaMaelezo ya Ukuaji wa Kanisa Huko British Columbia, Kanada. Msikilize YeyeBango lenye sanaa nzuri na andiko. Karibu kwenye Toleo HiliMzee Kevin R. DuncanMahekalu: Lulu ya Thamani KuuUtangulizi wa toleo la sasa la gazeti hili, ukitilia mkazo ibada, maagano na baraka zilizoahidiwa ambazo tunaweza kuzipokea hekaluni pekee. David A. BednarIbada za Hekaluni: Kujiandaa Kurudi Kwenye Uwepo wa MunguMzee Bedanr anafundisha kwamba maagano na ibada za hekaluni ni vya muhimu katika kusafisha mioyo yetu na kwa kuinuliwa kwa wana na mabinti za Mungu. Kanuni za KuhudumuKuwa na Ujasiri wa KutendaKatika kuhudumu, tunaweza kuweka hofu zetu pembeni ili kumjua mtu fulani na kuwasaidia kwenye changamoto zao. Kuzeeka Ukiwa MwaminifuDeborah L. DougalFursa ya KukuaMwanamke ambaye amempoteza mume wake anatambua kwamba kama mmea unaohamishwa, amewekwa kwenye hali mpya ambayo imetoa fursa mpya za kukua. Misingi ya InjiliMaandiko: Neno la MunguMuhtasari wa msingi wa maandiko na baraka za kujifunza maandiko. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Darrel FreemanKwa Mwongozo wa BwanaNesi anayewaangalia wagonjwa wa UVIKO-19 anagundua kwamba anaweza kuwasaidia na kuwafariji wale wanaoongea Kihispania, ambacho anaweza kukiongea kwa sababu ya uzoefu wa misheni yake. Jose Luis Scotland PalominoBwana Alitimiza Ahadi YakeMwanaume aliyepoteza kazi yake anatumikia kwa uaminifu katika wito wake na hatimaye anabarikiwa kwa kupokea fursa ya ajira mpya. ReNae CoxNimekuwa NikikubebaMwanamke anamuomba Mungu atume mtu wa kumsaidia na anapokea hisia za dhati kwamba Baba wa Mbinguni anampenda na amekuwa akimbeba kwenye majaribu yake. Vijana WakubwaKaytlin JenksWamisionari wa Kuhudumu: Kuujenga Ufalme Kupitia Huduma na UpendoKijana mkubwa anashiriki uzoefu wake kama mmisionari mhudumu na kile alichojifunza kuhusu umuhimu wa wito wake. Njoo, Unifuate Ciro SchmeilChombo katika Mikono ya BwanaMzee Schmeil anafundisha kwamba kama Esta katika Agano la Kale, tunazo fursa za kuwa chombo mikononi mwa Bwana na hivyo jukumu letu ni la kujiandaa kutenda. Aina za Ufunuo BinafsiMsaada kwa ajili ya kujifunza kwako 1 Wafalme 17–19. Kamwe Hauko Peke YakoMsaada kwa ajili ya kujifunza kwako 2 Wafalme 6 Maandiko Huigeuza Mioyo Yetu Kwa MunguMsaada kwa ajili ya kujifunza kwako 2 Wafalme 21–23. Kweli 5 Kumhusu EstaMuhtasari wa mambo ya kweli kuhusu Esta kutoka kwenye Agano la Kale Sanaa ya Agano la KaleEliya Akimrudishia Uhai Mwana wa MjaneSanaa nzuri inayoonyesha mandhari ya Agano la Kale. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Safari ya Mfuasi Kuishi Sheria ya Kufunga Kanuni tukufu ya kujitegemea Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki July 1847: Waasisi Wanawasili katika Bonde la Salt Lake Kuhudumu