“Msikilize Yeye,” Liahona, Julai/Agosti. 2022
Msikilize Yeye
Picha
Uwekaji Wakfu wa Hekalu la Sulemani
“Nimeitakasa nyumba hii uliyoijenga ili niweke jina langu humo milele; tena macho yangu na moyo wangu utakuwapo hapo siku zote.”
Uwekaji Wakfu wa Hekalu la huko Yerusalemu Lililojengwa na Mfalme Sulemani, na William Brassey Hole, Lebrecht History / Bridgeman Images