2022
Eliya Akimfufua Mtoto wa Mjane
Julai/Agosti 2022


“Eliya Akimfufua Mtoto wa Mjane,” Liahona, Julai/Agosti. 2022.

Sanaa ya Agano la Kale

Eliya Akimfufua Mtoto wa Mjane

Picha
Eliya Akimfufua Mtoto wa Mjane

““[Eliya] akamwomba Bwana, akanena, Ee Bwana, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.

“Bwana akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.

“Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka orofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.”

“Ona,” Eliya Alisema, “Mwanao yu hai,” na Charles Edmund Brock, Lebrecht History / Bridgeman Images

Chapisha