2022
“Maneno ya Isaya ni Makuu”
Septemba 2022


“Maneno ya Isaya ni Makuu,” Liahona, Sept. 2022.

“Maneno ya Isaya ni Makuu”

3 Nefi 23:1.

Picha
Isaya
  • 120+ unabii wa kuja kwa Masiya katika maandishi ya Isaya

  • 6 milango mashuhuri iliyotolewa kwa ajili ya ujio wa Masiya (ona mlango wa 7; 9; 11; 50; 53; 61)

  • 66 milango katika kitabu cha Isaya, kitabu kirefu zaidi miongoni mwa vitabu vya manabii

  • Mlango 29 unazungumzia juu ya Kitabu cha Mormoni

  • 6 mafundisho ya maandiko ya kukariri katika hiki kitabu (1:18; 5:20; 29:13–14; 53:3–5; 58:6–7, 13–14)

  • 40 ni miaka aliyohubiri Isaya (740–701 BC)

Chapisha