Septemba 2022 Msikilize YeyeBango lenye sanaa na andiko. Karibu kwenye Toleo HiliMaren DainesKuna matumaini!Utangulizi wa toleo la sasa la gazeti, likisisitiza dhima za matumaini na malezi. Ronald A. RasbandMatumaini na Faraja katika KristoMzee Rasband anafundisha kwamba huzuni ni sehemu ya mpango wa wokovu wa Baba wa Mbinguni lakini kilicho kitovu cha mpango huo ni faraja na matumaini kutokana na Upatanisho wa Yesu Kristo. Kwa ajili ya WazaziKutafuta Mwongozo wa KirohoMapendekezo ya jinsi gani wazazi wanaweza kutumia yaliyomo katika magazeti ya Kanisa ya mwezi Septemba ili kuwafundisha watoto wao. Maren Daines na G. Sheldon MartinMpangilio Imara kwa Ajili ya UzaziKuchota kutoka katika injili ya Yesu Kristo na kusaidia utafiti juu ya uzazi, waandishi wanachunguza kanuni tatu za mwongozo kwa ajili ya kulea makuzi ya mtoto kimhemko na kiroho. Kanuni za UhudumuTunaweza Kuwasaidia Wengine Kujisikia Kupendwa na KujumuishwaTunaweza kufuata mfano wa Mwokozi katika kuwafikia wengine kwa upendo ili kuwajumuisha wengine, bila kujali hali zao au mwonekano wao. Kanisa Liko HapaNuku‘alofa, TongaMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko Tonga. Hadithi kutoka Watakatifu, Juzuu ya 3Mzee Ezra Taft Benson Akiwatembelea Watakatifu huko PolandDondoo hii kutoka “Watakatifu,” Juzuu ya 3, inamwelezea Mzee Ezra Taft Benson akiwatembelea Watakatifu wa Siku za Mwisho huko Poland baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Misingi ya InjiliLikiongozwa na Manabii WanaoishiKanuni za msingi kuhusu nafasi ya manabii wa kale na wa sasa. Picha za ImaniThelma Endicott, Utah, MarekaniTukio muhimu kutoka maisha ya Mtakatifu wa Siku za Mwisho wa kila siku. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Annie WongJibu Langu la Kitabu cha MormoniAkifanyia kazi ushauri kutoka kwa Rais Nelson kuhusu kuimarisha shuhuda, mwanamke anaamua kumsomea Kitabu cha Mormoni mama yake asiyehudhuria kanisani kikamilifu. Molly Ogden WelchHebu Jaribu TenaBaada ya kupuuzia kujifunza maandiko, kijana mkubwa anashukuru kwa nafasi aliyopata ili kutubu na kuazimia upya kujisomea zaidi mara kwa mara Nadezhda KarezinaThibitisha Kwamba Niniyi MnahusianaBaada ya jirani na rafiki na mwanawe kufariki, mwanamke anatamani kufanya kazi zao za hekaluni. Casey Paul GriffithsSiku Moja kwa WakatiBaba mmoja anajifunza kuchukua siku moja baada ya nyingine wakati mwanawe mwenye ugonjwa wa akili anakua kutoka hatua moja ya maisha hadi nyingine. Vijana Wakubwa Patricio M. GiuffraKumwacha Bwana Aongoze Maisha YakoMzee Giuffra anafundisha kwamba Bwana daima atatubariki tunapotenda kwa imani. Maryssa DennisJe, Mimi ni Kijana Mkubwa Pekee Ninayehangaika Kupata Kusudi Langu?Kijana mkubwa anaelezea kile alichojifunza kuhusu kusudi la maisha yake mambo yalipokuwa hayaendi alivyopanga. Troy LarsgardMpangilio wa Kuepuka Kujisikia KukwamaMuumini mseja wa Kanisa anajifunza jinsi gani kufuata mpangilio wa ukuaji katika Luka 2:52 unavyobariki maisha yake. Kuzeeka Kwa UaminifuLora KinderUzuri wa KuzeekaMwanamke mzee anatambua shangwe na baraka ambazo zinaweza kuja na uzee. José A. TeixeiraChagua kuwa Makini KirohoMzee Teixeira anafundisha jinsi tunavyoweza kuishi maisha ya kuwa makini kiroho na kupata mwongozo mwingi kutoka kwa Roho Mtakatifu. Njoo, Unifuate Je, Tunaweza Kufanya Nini ili “Kuelekeza Sikio [Letu] kwenye Hekima”?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako kitabu cha Isaya. Je, Isaya Alifundisha Nini kuhusu Kukusanywa kwa Israeli?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako kitabu cha Isaya. Je, Maandishi ya Isaya Yananifundisha Nini kuhusu Yesu Kristo?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako kitabu cha Isaya. Je, Isaya Alifundisha Nini kuhusu Kuwa Mtumishi wa Bwana?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako kitabu cha Mormoni. “Maneno ya Isaya ni Makuu”Infografiki kuhusu kitabu cha Isaya. Sanaa ya Agano la KaleKutembea katika Nuru ya BwanaSanaa inayoonesha tukio linalohusiana na maandiko. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati ‘Enenda zako nawe Ukafanye Vivyo Hivyo’ Eneo la Kati la Afrika Linamuaga Mzee Joseph na Dada Gladys Sitati Kumwokoa Asiyeshiriki Kanisani Kikamilifu Kupokea Endaumenti Yako Brazzaville: ‘Imani yetu haijawa kamilifu, lakini Bwana alitukumbuka’ Wamisionari Wanawasili Lesotho