2021
Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Tahiti na Margo na Paolo
Machi 2021


Timu ya Mikono ya Usaidizi

Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Tahiti na Margo na Paolo

Picha
pictures of places in Tahiti

Kamwe sikuwahi kujua kwamba baadhi ya fuko za bahari zina mchanga mweusi!

Au kuwa watu huenda kuvua samaki usiku.

Matunda matamu sana yakuliwa yako huko Tahiti!

Pia kulikuwa na mengi ya kufanya na kuona, chini ya maji …

… na juu ya maji!

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha