2021
Itafute!
Machi 2021


Vitu vya kuburudisha

Itafute!

Picha
children biking in Denmark

Eva pamoja na familia yake wanawatembelea binamu zake ambao ni Emil na Viktor huko Denmark! Viktor na Emil wamekuwa wakiwaonyesha baadhi ya barabara za kufurahisha za baisikeli katika nchi yao. Tafuta honi 12 za baisikeli. Kisha tafuta vitu vingine vilivyofichwa.

Chapisha