2021
Pasaka ya Lainey
Machi 2021


Pasaka ya Lainey

Picha
girl outside in a dress

Lainey amefurahi. Leo ni Jumapili ya Pasaka!

Picha
girl holding mom and dad’s hand outside

Anakwenda kanisani na Mama na Baba.

Picha
girl looking at birds and flowers

Anaona maua, ndege na wadudu.

Picha
girl looking at picture of Jesus at church

Kanisani, anaona picha ya Yesu.

Picha
bishop speaking at podium

“Heri ya Pasaka,” anasema askofu. “Yesu anawapenda!”

Picha
girl smiling at church

Lainey anatabasamu. Naye anampenda Yesu pia!

Yesu Anapenda na Anaponya

Picha
Friend Magazine, 2021/03-04 Mar/Apr

Yesu alifundisha na kuponya watu popote Alipoenda. Mara ya mwisho alipoenda Yerusalemu, watu walimpungia kwa matawi matawi ya mitende ili kumwonyesha upendo, heshima na utukufu.

Unaweza kufuata njia ya Yesu kuingia Yerusalemu?

Chapisha