2021
Mzee Holland Azuru Afrika
Machi 2021


Mitume kote Ulimwenguni

Mzee Holland Azuru Afrika

Mzee Holland alizuru nchi tatu—Afrika Kusini, Angola na Msumbiji.

Picha
Friend Magazine, 2021/03-04 Mar/Apr

Katika Afrika Kusini, Mzee Holland alizungumza na watu 7,500. Huenda hilo ndilo kusanyiko kubwa zaidi la waumini wa Kanisa kuwahi kukusanyika pamoja katika nchi hiyo!

Nchini Msumbiji, Mzee Holland aliwaalika vijana wawili wenye umri wa miaka 14 wasimame karibu naye. Aliwakumbusha watu kuwa Joseph Smith alikuwa na miaka 14 alipopokea Ono la Kwanza.

“Iwe ni tatizo lolote, injili ya Yesu Kristo ni jibu.”*

Mzee Jeffrey R. Holland

* Imetoholewa toka Taarifa za Kanisa, Des 2, 2019.

Chapisha