2021
Kuasisi Tena Kanisa la Yesu Kristo
Machi 2021


Hadithi za Maandiko

Kuasisi Tena Kanisa la Yesu Kristo

Picha
Joseph Smith teaching men and women

Mnamo Aprili 6, 1830, kulikuwa na mkutano maalum katika nyumba ya magogo. Joseph Smith aliasisi tena Kanisa la Yesu Kristo duniani.

Picha
man blessing sacrament

Joseph Smith na Oliver Cowdery walibariki na kupitisha sakramenti. Baada ya kumalizika mkutano, watu kadhaa walibatizwa.

Picha
a girl watching Emma Smith being baptized
Picha
Emma Smith singing

Miezi michache baadaye, Mungu alimwita Emma Smith kuandaa kitabu cha nyimbo kwa ajili ya Kanisa. Kwa njia hiyo watu wangeweza kuimba nyimbo wakati wa mikutano ya Kanisa.

Picha
children singing in Primary

Mimi ni wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Ninaweza kuimba nyimbo na kupokea sakramenti kila wiki.

Chapisha