2021
Siku ya Ubatizo Wangu
Machi 2021


Siku ya Ubatizo Wangu

Picha
Friend Magazine, 2021/03-04 Mar/Apr

Tengeneza mwenyewe Kitabu chako cha Ubatizo!

  1. Toa kwa makini kurasa hizi mbili kutoka kwenye gazeti hili.

  2. Kata mwisho wa kila upande.

  3. Kunja ukurasa mara mbili. Tumia tepu, pini au gundi kuunganisha pamoja sehemu zilizo wazi.

  4. Kunja tena ili jina la kijitabu liwe sehemu ya mbele. Sasa una kitu cha kukumbusha siku yako ya kipekee!

Ni Siku Mpya Kwangu!

Ahadi mpya na Baba wa Mbinguni

Muumini mpya wa Kanisa la Yesu Kristo

Njia mpya ya kufuata maishani mwangu

Ubatizo Wangu:

Tarehe

Nilibatizwa na:

Mashahidi walikuwa

Kilichokuwa cha kipekee kwangu

Ahadi yangu ya Ubatizo kwa Baba wa Mbinguni:

Kumpenda na kumtumikia Yeye maisha yangu yote

Kutii amri Zake na kutubu ninapokuwa nimekosa

Kumfuata Yesu Kristo na kumkumbuka Yeye daima

Kuwafariji watu na kuwasaidia kubeba mizigo yao.

Ahadi za Baba wa Mbinguni Kwangu:

Kunipenda na kunisaidia maisha yangu yote

Kunisamehe ninapotubu

Kunipa kipawa cha Roho Mtakatifu

Kuthibitishwa Kwangu:

Tarehe

Nilithibitishwa na:

Kilichokuwa cha kipekee kwangu:

Kielelezo na Apryl Stott

Chapisha