2022
Marafiki Wapendwa
Julai/Agosti 2022


Marafiki Wapendwa,

Picha
Jesus speaking with children

Je, mmeshawahi kuona hekalu liking’aa usiku? Iliwafanya mjisikie vipi? Katika ukurasa wa 2 mnaweza kusoma hadithi kutoka kwa Rais Eyring kuhusu hekalu. Kisha kateni picha za hekalu kwenye ukurasa wa 3 kwa ajili ya kubandika ukutani. Kwenye ukurasa wa 14 mnaweza kusoma kuhusu mvulana ambaye anasubiria kwa hamu hekalu jipya huko Dubai. Jifunzeni kuhusu vile itakavyokuwa wakati mtakapoingia ndani ya hekalu siku moja (ukurasa wa 16).

Fokasi macho yako hekaluni!

Rafiki

Mawazo ya Ziada. Tafadhali andika kutuambia kile ambacho hekalu humaananisha kwako.

Chapisha