2022
Zaburi Inafundisha kuhusu Yesu Kristo
Julai/Agosti 2022


Hadithi za Maandiko

Zaburi Inafundisha kuhusu Yesu Kristo

Picha
a man in Bible clothes playing a harp

Zaburi ni nyimbo takatifu. Watu katika Biblia waliandika zaburi ili kumsifu Mungu. Nyingi za zaburi zao zinafundisha kuhusu Yesu Kristo. Hapa kuna kile ambacho baadhi ya zaburi kutoka katika Biblia hufundisha.

Picha
Jesus calming a storm

Mimi nampenda Bwana. Yeye ni mwamba wangu na nguvu yangu. Nitamtumainia Yeye. Nitamsifu Yeye.

Picha
Jesus holding a small lamb

Bwana ndiye Mchungaji wangu. Yeye huniongoza kwenye majani mabichi. Yeye huniongoza kwenye maji ya utulivu. Sitaogopa.

Picha
Jesus holding up a light

Bwana ndiye nuru yangu. Sitaogopa. Nitakuwa na ujasiri. Ataufanya moyo wangu kuwa thabiti.

Picha
Primary children singing at church

Nampenda Yesu Kristo na Yeye ananipenda. Ninaweza kumsifu Yeye wakati ninapojifunza na kuimba kumhusu Yeye.

Picha
coloring page of Jesus holding a lamb

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha