Julai/Agosti 2022 Marafiki WapendwaSomeni ujumbe kuhusu mahekalu. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni! Henry B. EyringNuru na Amani ya HekaluSoma ujumbe kutoka kwa Rais Henry B. Eyring kuhusu kutumikia hekaluni. Noelle BarrusMbio za KuniLuke na ndugu zake wanamfuata nabii kwa kukusanya kuni ili kujiandaa. Kutana na Septream kutoka KambodiaKutana na Septream kutoka Kambodia na ujifunze jinsi yeye anavyosaidia kama Yesu. Yesu Aliwalisha wenye NjaaSoma hadithi kuhusu jinsi Yesu alivyowalisha wenye njaa na kisha andaa mpango wa kusaidia, kama Yeye alivyofanya. Halo kutoka Kambodia!Jifunze kuhusu Kambodia pamoja na Margo na Paolo! Leslie BornShule Mpya, Rafiki MpyaIngawa yeye haongei Kichina, Ada hupata rafiki katika shule yake mpya nchini Taiwan. Tafuta!Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa ndani ya picha? Paisley B.Vioja Nyuma ya JukwaaPaisley B. Anashiriki hadithi ya kuwa wakarimu na kusimama pamoja na wengine. Charlotte LarcabalLengo Zuri SanaDavid anaweka lengo la kujiandaa kwenda katika Hekalu la Dubai wakati litakapojengwa. Matembezi ya HekaluniJifunze kuhusu sehemu tofauti za hekalu na kile kinachotenda pale. Noelle BarrusWimbo Pendwa wa FatimaFatima anashiriki wimbo wa Msingi kwenye darasa lake shuleni. Kumfuata Yesu kwa PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Lucy Stevenson EwellUtafutaji wa Muda Mrefu wa MichaelMichael anajifunza kuhusu Kanisa katika gazeti na anatafuta ili kujua zaidi. Kadi za Shujaa wa MaandikoKusanya kadi ili kujifunza kuhusu watu muhimu kutoka katika Agano la Kale! Mwezi huu: Hana na Samweli. Wanawake katika Agano la KaleJifunze zaidi kuhusu wanawake katika Agano la Kale kwa mchezo huu wa kuoanisha. Eliya na Sauti Ndogo TulivuSoma hadithi ya Agano la Kale ya Eliya akisikia sauti ndogo tulivu. Ninaweza kumhisi Roho MtakatifuWafundishe watoto wako wadogo kwa kutumia ukurasa wa kupaka rangi unaolenga kwenye injili. Ujumbe wa mwezi huu ni, “Ninaweza kumhisi Roho Mtakatifu.” Zaburi Inafundisha kuhusu Yesu KristoSoma kuhusu Zaburi katika Agano la Kale. Yesu alisemaBango lenye ujumbe, “Yesu alisema: kwamba Yeye atanisaidia.” Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu jinsi ya kuwasaidia watoto wako kukabiliana na changamoto za kihisia.