2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko
Julai/Agosti 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko

Kata kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Hana

Picha
cut-out card of Hannah praying

“Nimeimimina roho yangu mbele za Bwana.”

  • Alikuwa na imani. Aliomba ili kupata mwana.

  • Alimwahidi Mungu kwamba akimpata, mtoto angetumikia hekaluni.

  • Sala zake zilijibiwa! Alipata mwana aliyeitwa Samweli. Samweli alitumikia hekaluni.

Samweli

Picha
cut-out card of Samuel as a young boy

“Bwana alimwita [yeye]: naye alijibu.”

  • Alilelewa hekaluni. Mungu alimwita kuwa nabii alipokuwa mvulana.

  • Alijifunza kuisikia sauti ya Mungu. Alisema, “Niko hapa.”

  • Aliwafundisha watu kutubu na kuwa na imani.

Chapisha