2022
Wapendwa Wazazi
Julai/Agosti 2022


Wapendwa Wazazi,

Picha
letter to parents

Ni mara ngapi mnazungumza kuhusu hekalu katika nyumba zenu? Mnaweza kuishi mbali sana na hekalu, lakini bado mnaweza kuwasaidia watoto wenu kutazamia kwenda huko siku moja. Shirikini nao ushuhuda wenu juu ya mahekalu. Wasaidieni wao kujiandaa kuingia ndani ya hekalu ili kuwahudumia wengine, kufanya maagano na kuhisi kuwa karibu na Baba wa Mbinguni. Mnaweza kuanza na baadhi ya mawazo kutoka ukurasa wa 2, 14, na 16.

Kwa upendo,

Rafiki

Chapisha