Rafiki
Samweli Juu ya Ukuta
Septemba 2024


“Samweli Juu ya Ukuta,” Rafiki, Septemba 2024, 12.

Kitu cha kuburudisha

Samweli Ukutani

PDF

Vielelezo na Maddie Baker

Samweli nabii alipanda ukutani kuwafundisha watu kuhusu Yesu Kristo (ona Helemani 13–16). Fanya sanaa hii ya ufundi ili ikusaidie kukumbuka hadithi ya Samweli. Ni kwa jinsi gani wewe unaweza kushiriki kuhusu Yesu Kristo pamoja na wengine?

  1. Kata vipande. Kisha kwa makini kata mistari ya nukta kwenye ukuta kufanya mipasuko miwili.

  2. Telezesha mshipi mrefu kupitia mipasuko. Sasa unaweza kumfanya Samueli kupanda na kushuka ukuta unapoelezea hadithi kwenye ukurasa wa 24!