2023
Unahitaji Rafiki? Kuwa Rafiki!
Septemba 2023


Unahitaji Rafiki? Kuwa Rafiki!,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Okt. 2023.

Unahitaji Rafiki? Kuwa Rafiki!

Picha
msichana na mama

“Joe anaondoka!”

“Nasikitika kusikia hivyo, mpenzi.”

Picha
msichana akizungumza na mama

“Nitafanyaje? Yeye kimsingi ni rafiki yangu pekee!”

Picha
msichana akizungumza na binti

“Ilikuwaje mkawa marafiki wazuri na Joe?”

Picha
msichana

“Tulianza kuzungumza siku moja, na kisha tuliendelea kuzungumza tu.

“Tuliweza kuzungumza kuhusu kila kitu.”

Picha
msichana na mvulana
Picha
msichana na mvulana
Picha
mvulana na msichana
Picha
mama na binti

“Ungeweza kufanya hivyo tena. Mtafute mtu fulani wa kuzungumza naye na uone nini kitatokea. Unaweza kukuta mnaendelea kuzungumza.”

“Nadhani ninaweza kujaribu hilo.”

Picha
chumba cha darasa la shule
Picha
Wasichana
Picha
Wasichana
Picha
Wasichana
Picha
msichana na mvulana

Chapisha