2023
Sehemu ya Burudani
Septemba 2023


“Sehemu ya Burudani,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Sept. 2023.

Sehemuya Burudani

Mkutano Mkuu Unakuja! Jaribu shughuli hizi za dhima ya mkutano mkuu.

Picha
Sehemu ya Burudani

Pakua PDF

Kisia Nani

Je, unaweza kuwafananisha washiriki hawa nane wa Urais wa Kwanza au Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na picha zao za zamani?

  1. Henry B. Eyring

  2. Dieter F. Uchtdorf

  3. David A. Bednar

  4. Quentin L. Cook

  5. D. Todd Christofferson

  6. Ronald A. Rasband

  7. Gerrit W. Gong

  8. Ulisses Soares

a.

b.

c.

d.

e.

f.

g.

h.

Kupaka Rangi Mkutano Mkuu

Picha hii ni kwa ajili yako kuipaka rangi. Je, hivi ndivyo uzoefu wako wa mkutano mkuu ulivyokuwa?

Maswali mafupi juu ya kweli kadhaa za Mkutano Mkuu

  1. Huu utakuwa ni mkutano mkuu wa nusu mwaka __________.

    1. Wa 193

    2. Wa 152

    3. Wa 143

  2. Mkutano mkuu wa kwanza ulifanyika mnamo________

    1. 1845

    2. 1922

    3. 1830

  3. Kulikuwa na watu__________ kwenye mkutano mkuu wa kwanza.

    1. 27

    2. 109

    3. 44

  4. Mkutano Mkuu sasa unatafsiriwa kwa lugha takribani ___________

    1. 50

    2. 100

    3. 70

  5. Mnamo Aprili 1833 mkutano mkuu ulifanyika ________

    1. Kwenye banda lililotelekezwa

    2. Kwenye kivuko

    3. Kwenye uwanja wa Hekalu

Vichekesho

Picha
Familia kwenye chakula cha jioni

Um …Nilisoma katika maandiko leo kwamba wale wanaosherehekea neno kamwe hawatasikia njaa, kwa hiyo sitakuwa nahitaji chakula chochote cha jioni. Asante!

Ryan Stoker

Majibu

Kisia Nani

1. f, 2. c, 3. h, 4. a, 5. b, 6. e, 7. g, 8. d

Kweli za kuburudisha za Mkutano Mkuu

1. a, 2. c. 3. a, 4. b, 5. b

Chapisha