Oktoba 2013 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Thomas S. MonsonKaribuni kwenye Mkutano Mkuu Robert D. HalesMkutano Mkuu: Kuimarisha Imani na UshuhudaEe, tunahitaji mkutano mkuu jinsi gani! Kupitia mkutano mkuu imani yetu huimarisha na shuhuda zetu kupata kina. Ulisses SoaresKuwa Mnyenyekevu na Mpole katika Moyo Carole M. StephensJe, Tunajua Kile Tulichonacho?Maagizo na maagano ya ukuhani hutukubalisha kupokea ukamilifu wa baraka zilizoahidiwa kwetu na Mungu, zinazowezeshwa na Upatanisho wa Mwokozi. Na Mzee Edward DubeTazama Mbele na UaminiKatika macho ya Bwana, si sana sana kile tumefanya au pale tumefika bali ni pale sisi tuko tayari kwenda. David A. BednarMadirisha ya MbinguniNashuhudia kwamba baraka za kiroho na kidunia huja katika maisha yetu tunapoishi sheria ya zaka. Dieter F. UchtdorfNjoo, Ujiunge NasiBila kujali hali yako, historia yako binafsi, au uwezo wa ushuhuda wako, kuna nafasi yako katika Kanisa hili. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Henry B. EyringKuidhinisha Maafisa wa Kanisa Boyd K. PackerFunguo ya Ulinzi wa Kiroho D. Todd ChristoffersonNguvu ya Usafi wa WanawakeWelewa wako ni kufanya mema na kuwa mwema na unapofuata Roho Mtakatifu, mamlaka yako ya kimaadili na ushawishi yatakua. S. Gifford NielsenKuharakisha Mpango wa BwanaLazima sote tutengeneze na tutekeleze mpango wetu wenyewe wa kibinafsi na shauku ya kuhudumu pamoja na wamisionari wa muda. Arnulfo ValenzuelaVitu Vidogo na RahisiAcha sisi tufikie wengine kwa imani na kwa upendo. Timothy J. DychesUnataka Kuponywa? Jeffrey R. HollandKama Chombo KilichovunjikaJe! Unaweza kufanya nini vyema wakati changamoto za akili au kihisia zinapokukabili wewe au wale uanawapenda? M. Russel BalladWeka Imani Yako katika Bwana Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani L. Tom PerryMafundisho na Kanuni Zilizopo katika Makala ya ImaniKila makala ya imani huongezea thamani ya kipekee kwenye uelewa wetu wa injili ya Yesu Kristo. Gerald CausseNinyi si Wageni TenaKatika Kanisa hili hamna wageni na waliotengwa. Kuna tu ndugu na dada. Randy D. FunkKuitwa Naye Kutangaza Neno LakeKama wewe ni mnyenyekevu na mtiifu na unasikia sauti ya Roho, wewe utapata furaha kuu katika huduma yako kama mmisionari Dieter F. UchtdorfUnaweza Kufanya Hivyo Sasa!Kama tuko tayari kusimama na kuendelea kwenye njia , … tunaweza kujifunza kitu kutokana na kushindwa kwetu na kuwa bora na wenye furaha. Henry B. EyringKufunga Majereha YaoNinaomba kuwa tuweze kujitayarisha kutoa huduma yoyote ya kikuhani ambayo Bwana ataweka kwetu katika safari yetu ya hapa duniani. Thomas S. MonsonWachungaji wa KweliUalimu wa nyumbani hujibu maombi mengi na kuturuhusu sisi kuona mabadiliko yanayoweza kufanyika katika maisha ya watu. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Henry B. EyringKwa Wajukuu WanguKuna amri moja muhimu ambayo itasaidia kukabiliana na changamoto na kupelekea hata kwenye kiini cha maisha ya familia yenye furaha Dallin H. OaksUsiwe na miungu mingineJe, tunatumikia vipaumbele ama miungu zaidi ya Mungu tunayekiri kumwabudu? Bonnie L. OscarsonKuweni WaongofuUongofu wa kweli hutokea unapoendelea kutenda juu ya mafundisho unayojua kuwa ni kweli na kuweka amri, siku baada ya siku, mwezi baada ya mwezi. Richard J. MaynesNguvu za KuvumiliaUwezo wetu wa kuvumilia hadi mwisho katika wema utakuwa unalingana moja kwa moja na nguvu ya ushuhuda wetu na kina cha uongofu wetu. Richard G. ScottNguvu za Kibinafsi kupitia Upatanisho wa Yesu KristoKupitia Upatanisho wa Yesu Kristo, kila mmoja wetu anaweza kuwa msafi na mzigo wetu wa uasi kuondolewa. Thomas S. Monson“Sitakupungukia Wala Sitakuacha”Baba yetu wa Mbinguni… anajua kwamba tunajifunza na kukua na kuwa imara tunapokabiliana na kushinda majaribio ambayo lazima tunayapitie. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Quentin L. CookMaombolezo ya Yeremia: Tahadhari UtumwaChangamoto yetu ni kuepuka utumwa wa aina yoyote, kumsaidia Bwana kuwakusanya wateule Wake, na kujitolea kwa ajili ya kizazi chipukizi. Neil L. AndersenNguvu katika UkuhaniMtu anaweza kufungua pazia ili mwanga mtamu uweze kuingia chumbani, lakini mtu yule hamiliki jua ama mwanga wala joto litokanalo na jua. David M. McConkieKufundisha kwa Nguvu na Mamlaka ya MunguBwana ametoa njia kwa kila Mtakatifu wa Siku za Mwisho anayestahili kufundisha kwa njia ya Bwana. Kevin S. HamiltonKuendelea Kushikilia kwa NguvuNa tuendelee kushikilia fimbo ya chuma ambayo itatuongoza hata katika uwepo wa Baba yetu wa Mbinguni. Adrian OchoaTazama JuuLeo ndiyo wakati wa Kutafuta ukweli na kuhakikisha kwamba ushuhuda wetu uwe strong. Terence M. VinsonKuvutwa Karibu na MunguMwokozi wetu anataka sisi tumpende Yeye kiukweli kiasi kwamba tutake kuweka sambamba mapenzi yetu na Yake. Russell M. NelsonMaamuzi ya Milele Thomas S. MonsonMpaka Tutakapokutana TenaNa tuonyeshe ongezeko la ukarimu kwa mmoja na mwingine; na daima tupatikane tukifanya kazi ya Bwana. Mkutano Mkuu wa Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama Mkutano Mkuu wa Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama Linda K. BurtonUwezo, Furaha, na Upendo wa Kuweka Maagano Carole M. StephensSisi Tuna Sababu Kuu ya KufurahiaWakati ninyi mnapopenda, mnapotunza, na kuwahudumia wengine katika njia ndogo na rahisi, mnakuwa watendaji hai katika kazi ya wokovu. Linda S. ReevesDai baraka za Maagano yako Thomas S. MonsonKamwe Hatutatembea Peke YetuWewe siku moja utasimama kando na kutazama nyakati zako ngumu, na utagundua kwamba Yeye alikuwa daima kando yako.