Oktoba 2014 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Na Rais Thomas S. MonsonKaribuni kwenye MkutanoRais Thomas S. Monson anawakaribisha watu kwenye mkutano mkuu na anataja matukio makuu na ya muhimu katika ukuaji wa Kanisa Na Rais Boyd K. PackerSababu ya Tumaini LetuBoyd K. Packer anafundisha kwamba Yesu Kristo na Upatanisho Wake ndiyo chanzo cha matumaini, amani, na ukombozi wetu. Na Mzee Lynn G. RobbinsUnatazama Upande Gani?Mzee Lynn G. Robbins wa Sabini anatufundisha sisi kuonyesha ujasiri kwa kumweka Mungu mbele, bila kujali shinikizo rika au ugumu wa mazingira. Na Cheryl A. EsplinSakramenti---Kufanywa Upya kwa NafsiDada Cheryl A. Esplin anatufundisha vile Yesu Kristo anavyoweza kufanya upya nafsi zetu kupitia sakramenti na anatuelezea njia bora ya kujitayarisha kwa ajili ya ibada hii. Na Mzee Chi Hong (Sam) WongKuokoa kwa UmojaChi Hong (Sam) Wong anatumia hadithi ya Yesu kumponya mtu mwenye kupoozaili kufundisha juu ya umuhimu wa umoja na imani tunapowaokoa wenye shida. Na Mzee D. Todd ChristoffersonHuru Milele, Kujitendea WenyeweD. Todd Christofferson anatukumbusha kwamba Mungu ametupatia yote uhuru na uwajibikaji wa kibinafsi kutusaidia kupata uwezo wetu. Na Rais Dieter F. UchtdorfKupokea Ushuhuda wa Nuru na UkweliUshuhuda wetu wa kibinafsi wa injili na Kanisa hautatubariki tu katika maisha haya bali kote katika milele yote. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Na Rais Henry B. EyringKuwaidhinisha Maafisa wa KanisaHenry B. Eyring anawasilisha majina ya Viongozi wenye Mamlaka na maafisa wakuu wa makundi saidizi kwa kura ya kuidhinisha. Na Mzee Dallin H. OaksKuwapenda Wengine na Kuishi kwa UtofautiDallin H. Oaks anafunza kwamba kama wafuasi wa Yesu Kristo, tunapaswa kuwapenda wengine na kuishi kwa imani na wale imani yao inatofautiana na yetu wenyewe. Na Mzee Neil L. AndersenJoseph SmithNeil L. Andersen anasifia silka ya Joseph Smith, ambaye jina lake limejulikana kwa wema na ubaya, na kuhimiza shuhuda imara za Nabii. Na Tad R. CallisterWazazi: Ni Walimu wa Kimsingi wa Watoto WaoNdugu Tad R. Callister anawafunza wazazi jinsi ya kuwa waalimu wa injili wa kwanza na muhimu sana wa watoto wao kwa mfano na mawazo. Na Mzee Jörg KlebingatKukaribia Kiti cha Enzi cha Mungu kwa ImaniMzee Jörg Klebingat anapeana mapendekezo sita ya kupata ujasiri mbele ya Mungu Na Mzee Eduardo Gavarret“Ndiyo, Bwana, Nitakufuata.”Mzee Eduardo Gavarret anaelezea mwaliko wa Mwokozi wa kumfuata Yeye na anaorodhesha hatua tunazoweza kuchukua kuja na kutembea na Kristo. Na Mzee Jeffrey R. HollandJe! Si Sisi Sote ni Waombaji?Mzee JeffreyR. Holland anatukumbusha juu ya amri ya kuwajali maskini na wenye mahitaji na kutuhimiza sisi kufanya kile tunaweza ili kusaidia. Na Mzee L. Tom PerryKuitafuta Amani ya Milele na Kujenga Familia za Milele Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani Mzee Quentin L. CookChagua kwa HekimaMzee Quentin L. Cook anatuhimiza tufanye chaguo zinazoambatana na malengo yetu, na amri za Bwana, na maagano matakatifu. Na Mzee Gaig C. ChristensenNinavijua MwenyeweMzee Graig C. Christensen anawahamasisha wenye ukuhani kukuza ushuhuda wao wenyewe wa injili ya Yesu Kristo na Urejesho Na Askofu Dean M. DaviesSheria ya Mfungo: Jukumu la Kibinafsi Kuwajali Maskini na Walio na MahitajiAskofu Dean M. Davies anawashauri washiriki wote kumfuata Mwokozi katika kuwatunza maskini na walio na mahitaji kupitia kwa sheria ya mfungo Rais Dieter F. UchtdorfRais Dieter F. Uchtdorf Na Rais Henry B. EyringUkuhani wa MatayarishoRais HenryB. Eyring anatoa ushuari kwa wale ambao wanaowasaidia wenye Ukuhani wa Haruni kujitayarisha huduma inayoendelea ya ukuhani. Na Rais Thomas S. MonsonOngozwa Salama NyumbaniAkitumia analogia ya meli, Thomas S. Monson anawafunza washiriki kuelekeza mwelekeo kuelekea uzima wa milele, kwa usukani wa imani. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Na Rais Henry B. EyringUfunuo EndelevuRais Henry B. Eyring anashuhudia kwamba tunaweza kupokea ufunuo wa kuthibitisha wa kibinafsi kuhusu mafundisho na ushauri kutoka kwa viongozi wetu. Na Mzee Russell M. NelsonKuwaidhinisha ManabiiUrais RussellM. Nelson anashuhudia juu ya kuitwa kwa Rais wa Kanisa na anawahamasisha Watakatifu wa Siku za Mwisho kuwaidhinisha manabii walio hai. Na Carol F. McConkieIshi Kulingana na Maneno ya ManabiiCarol F. McConkie anashuhudia juu ya kazi takatifu ya manabii na baraka ambazo zinakuja kutokana na kuishi kwa ushuari ambao Mungu hutoa kwetu kupitia kwao. Na Mzee Robert D. HalesUzima wa milele---Kumjua Baba yetu wa Mbinguni na Mwanawe, Yesu KristoAkitumia maandiko mengi, Robert D. Hales anafundisha kwamba Baba na Mwana ni viumbe viwili tofauti na kwamba tunaweza kupata ushuhuda juu Yao. Na Mzee James J. HamulaSakramenti na UpatanishoMzee James J. Hamula anashuhudia juu ya umuhimu wa sakramenti na anatuhimiza kuufanya kuwa sehemu muhimu sana ya maisha yetu. Na Rais Thomas S. MonsonUlisawazishe Pito la Mguu WakoRais Thomas S. Monson anatushauri tutembea katika mapito yaliyoalamishwa na mfano na mafundisho ya Yesu Kristo. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Na Mzee M. Russell BallardBaki katika Mashua na Ujishikilie!Tutakuwa salama na kulindwa kama tutafuata mafundisho ya Kanisa na ushauri wa manabii na mitume wa kisasa. Na Mzee Richard G. ScottFanya Utumizi wa Imani Kuwa Kipaumbele Chako cha KwanzaSisi hutumia imani yetu katika Yesu Kristo kupitia sala ya kila mara na dhabiti, kujifunza maandiko, jioni ya familia nyumbani na uhudhurio wa hekalu. Na Mzee Carlos A. GodoyBwana ana mpango Kwetu!Carlos A. Godoy anafunza kanuni tatu ambazo zitatusaidia kufikia uwezo wetu na kutimiza mpango Mungu alionao kwa maisha yetu. Na Mzee Allan F. PackerKitabuMzee Allan F. Packer anajadili jinsi kazi ya historia ya familia na hekalu ni muhimu kwa kazi ya Bwana ya wokovu na jinsi ya kushiriki. Na Mzee Hugo E. MartinezHuduma Zetu za KibinafsiMzee Hugo E. Martinez anafunza kwamba huduma zetu za kibinafsi zinaanza tunapomgeukia Yesu Kristo kwa uongozi wetu kujua nani wa kuhudumia na jinsi ya kuhudumu. Na Mzee Larry S. KacherChagua kwa BusaraMzee Larry S. Kacher anatuhimiza tufanye chaguo zilizo na msingi wa kanuni za injili ili kuhakikisha tutapokea baraka za milele. Na Mzee David A. BednarNjoo UoneDavid A. Bednar anaelezea sababu za kwa nini Watakatifu wa Siku za Mwisho wana motisha ya kushiriki injili. Na Rais Thomas S. MonsonMpaka Tutakapokutana TenaRais Thomas S. Monson anatushauri kuhudumia na kuwa wanafunzi jasiri sana na wafuasi waaminifu wa Kristo. Mkutano Mkuu wa Kinamama Mkutano Mkuu wa Kinamama Na Linda K. BurtonKutayarishwa kwa Njia Ambayo Kamwe HaijajulikanaNa tujitayarishe kupokea maagizo ya kuokoa kwa ustahiki tone kwa tone na kuweka maagano husika kwa moyo mkunjufu. Jean A. StevensCovenant Daughters of God Na Neill F. MarriottKushiriki Nuru YakoLazima tusimame imara katika imani yetu na tupaze sauti zetu ili kutangaza mafundisho ya kweli Na Rais Dieter F. UchtdorfKuishi Injili kwa FurahaMatumaini katika uwezo wa kuokoa wa Yesu Kristo; kuweka sheria na amri Zake. Katika maneno mengine ---kuishi injili kwa furaha.