Aprili 2015 Mkutano Mkuu wa Kinamama Mkutano Mkuu wa Kinamama Cheryl A. EsplinKujaza Nyumba Zetu na Nuru na Kweli Carole M. StephensFamilia Ni ya MunguCarole M. Stephens anatumia maneno ya wimbo wa Msingi kufunza kuhusu nafasi ya familia---familia za duniani na familia zetuza mbinguni---katika mpango wa Mungu. Bonnie L. OscarsonWatetezi wa Tangazo la FamiliaDada Bonnie Oscarson anawahimiza Wanawake Watakatifu wa Siku za Mwisho watetee ndoa, majukumu matukufu ya wazazi na utakatifu wa nyumba. Henry B. EyringMfarijiHenry B. Eyring anaelezea jinsi agano letu la ubatizo hutuongoza sisi kueneza huruma wa Mwokozi kwa wale ambao wanabeba mizigo mizito ya maisha. Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Henry B. Eyring“Je, Saumu Niliyoichagua, Siyo ya Namna Hii?”Henry B. Eyring anafundisha kuhusu baraka za kimwili na kiroho za kufunga na matoleo ya mfungo. Boyd K. PackerMpango wa FurahaBoyd K. Packer anafundisha kuhusu ndoa, nguvu za uumbaji, toba, na familia za milele. Linda K. BurtonTutapaa PamojaDada Burton anafundisha kwamba wanaume na wanawake washikao maagano yao na kuimarishana, wote wanaweza kufikia uwezo wao kamili. Dallin H. OaksMithali ya MpanziDallin H.Oaks anajadili kuhusu mpanzi na kuonya juu ya mitazamo ambayo inamzuia Mungu kutokuza katika mioyo na kuzalisha “tunda.” L. Whitney ClaytonChagua KuaminiMzee L. Whitney Clayton wa Sabini anafundisha kwamba sisi tunafuata nuru ya kiroho katika maisha yetu tunapochagua kuamini katika Mwokozi na injili Yake. L. Tom PerryKwa nini Ndoa na Familia ni Muhimu – Kote UlimwenguniMzee L. Tom Perry anaelezea kwa nini ndoa na familia bado ni wazo zuri la ulimwenguni kote na kwa nini ni sharti tuunge mkono juhudi za kuziimarisha duniani kote. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Dieter F. UchtdorfKuidhinishwa kwa Maafisa wa KanisaDieter F. Uchtdorf anawasilisha majina ya Viongozi Wakuu wenye Mamlaka na maafisa wakuu wa Kanisa kwa kura kuidhinisha. Kevin R. JergensenRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2014Mkurugenzi mtendaji wa Idara ya Ukaguzi ya Kanisa anasoma ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa 2014 Brook P. HalesRipoti ya Takwimu, 2014 David A. BednarKwa hivyo Wakatuliza Woga WaoDavid A. Bednar anafundisha jinsi sisi tunaweza kushinda woga wa mauti kwa kuwa na imani katika Yesu Kristo na kujenga maisha yetu katika msingi Wake. D. Todd ChristoffersonKwa Nini Ndoa, Kwa Nini FamiliaMzee Christofferson anazungumza juu ya umuhimu wa ndoa kati mwanaume na mwanamke na nafasi yake katika mpango wa Mungu wa furaha. Wilford W. AndersenMuziki wa InjiliMzee Wilford W. Andersen wa Sabini anafundisha jinsi tunaweza kufundisha na kufurahia muziki wa injili wenye upatanifu katika nyumba zetu, pamoja na watoto wetu. Dale G. RenlundWatakatifu wa Siku za Mwisho Endeleeni KujaribuMzee Dale G. Renlund anafunza kwamba kuwa Mtakatifu humaanisha kuendelea kujaribu na anatuhimiza tufanye hivyo hali tukiwaruhusu wengine fursa hiyo hiyo. Michael T. RingwoodNi Wazuri na Hawana Hila Quentin L. CookBwana ni Nuru YanguQuentin L. Cook anafundisha kwamba kama tutamfuata Mwokozi na kuishi kwa umoja, tutafanikiwa licha uhalisi mkali unaotuzunguka. Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani M. Russell BallardKizazi Kikuu cha Vijana WazimaMzee M. Russell Ballard anawahimza wamisionari waliorejea na vina wazima wote waishi viwango vya injili kwa uanafunzi mwema. Ulisses SoaresNdio,Tunaweza na Tutashinda!Mzee Ulisses Soares anashuhudia kwamba kama tutaendelea kuwa wakweli kwa ushuhuda wetu juu ya Yesu Kristo na injili Yake, tutashinda vita dhidi ya uovu. Larry M. GibsonUbaba---Majaliwa Yetu ya MileleNdugu Larry M. Gibson anawafundisha wanaume wa Kanisa kuhusu kitovu muhimu cha wajibu wao kama kina baba, yote sasa na katika milele. Dieter F. UchtdorfKuhusu kuwa mkweliRais Uchtdorf anafundisha wenye ukuhani muhimu wa kuwa wanyenyekevu, uanafunzi wa kweli. Henry B. EyringSala za Ukuhani na BinafsiRais Henry B. Eyring anafundisha wenye ukuhani kwamba wanaposali kwa unyenyekevu na kutafuta Roho, Mungu atawasaidia kujua kile cha kusema na kufanya. Thomas S. MonsonUkuhani---Zawadi TukufuThomas S. Monson anafundisha wenye ukuhani kuthamini kipawa cha ukuhani, waiishi kwa ustahiki wa kutumia nguvu zake, na kumfuata Mwokozi. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Thomas S. MonsonBaraka za HekaluThomas S. Monson anafundisha kuhusu faraja, amani, na nguvu ambazo zinaweza kutujia tunapohudhuria hekalu. Rosemary M. WixomKurejea kwenye ImaniRosemary M. Wixom anashiriki hadhithi ya mwanamke ambaye alirejea kutoka kwa kutilia shaka imani na wanafamilia na marafiki ambao kwa upendo walimsaidia. José A. TeixeiraKumtafuta BwanaMzee José A. Teixeira wa Sabini anafundisha tabia tatu ambazo zitatusaidia kujifunza kuhusu Mwokozi na uzoefu wa furaha, hata katika nyakati ngumu. Gérald CausséJe! Bado ni Nzuri Sana Kwako?Askofu Gérald Caussé anatualika daima tukumbuke miujiza ya injili ya Yesu Kristo. Brent H. NielsonKumsubiri Mwana MpotevuMzee Brent H. Nielson anashiriki hadithi ya kibinafsi kuhusu jinsi kujumuisha, upendo, na kuwasubiri wengine ambao wamepoteza imani yao. Jeffrey R. HollandPale Haki, Upendo, na Rehema HukutanaJeffrey R. Holland anashuhudia juu ya Upatanisho wa Mwokozi na anaelezea juu uhusiano wake na Kuanguka kwa Adamu na Hawa. Dieter F. UchtdorfKipawa cha Neema Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Robert D. HalesKuhifadhi Haki ya Kujiamulia, Kulinda Uhuru wa KidiniMzee Robert D. Hales anaelezea kwa nini uhuru wa dini ni muhimu kwa kutekeleza uwakala na kutimiza mpango wa Baba yetu wa Mbinguni. Kevin W. PearsonKaa karibu na MtiMzee Kevin W. Pearson anaelezea jinsi ono la Lehi la mti wa uzima hutufundisha kile sisi sharti tufanye ili kuvumilia hadi mwisho. Rafael E. PinoMtazamo wa Milele wa InjiliKuelewa mpango wa wokovu hutupatia mtazamo wa milele ambao hutusaidia kuthamini amri, maagano, na majaribu na masumbuko yetu Neil L. AndersenUfalme Wako UjeMzee Neil L. Andersen anazungumza juu ya nafasi walionayo waumini wa Kanisa ya kusaidia kujenga ufalme wa Mungu na kujiandaa kwa Ujio wa Pili wa Bwana. Jorge F. ZeballosKama Mtaweza KuwajibikaMzee JorgeF. Zeballos anashiriki kanuni nne muhimu ili kutusaidia kuwajibika kwa baba yetu wa mbinguni na kuwa kama Yeye. Joseph W. SitatiZaeni, Mkaongezeke, na Muitiishe NchiMzee Sitati anafundisha kuhusu wajibu wetu katika mpango wa wokovu na jinsi kutimiza huu wajibu kutatusaidia kuwa kama Mungu. Russell M. NelsonSabato ni Siku ya FurahaRussell M. Nelson anafundisha jinsi tunaweza kuifanya Sabato kuwa siku ya furaha kupitia kuimarisha mishikamano ya familia, kufanya historia ya familia, na kuwahudumia wengine.