Oktoba 2015 Mkutano Mkuu wa Wanawake Mkutano Mkuu wa Wanawake Rosemary M. WixomDiscovering the Divinity Within Linda S. ReevesKustahili Baraka Zetu ZilizoahidiwaLinda S. Reeves anawahimiza kina dada kukumbuka baraka ambazo Baba wa Mbinguni amewaahidi wao kwa kuishi injili. Carol F. McConkieHapa Kuhudumia Lengo la HakiDada Carol F. McConkie anawaalika wasichana na wanawake wa umri wote kuhudumu lengo la haki tunaposaidia kujenga ufalme wa Mungu. Dieter F. UchtdorfMajira Ya Joto na Shangazi Mkubwa RoseRais Uchtdorf anashiriki hadithi ya msichana mdogo ambaye alijifunza kuhusu imani, tumaini, na upendo alipokuwa akikaa na shangazi yake mkubwa majira ya joto. Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dieter F. UchtdorfInafanya Kazi Vyema!Rais Uchtdorf anatuhimiza sisi turahisishe mwenendo wetu wa ufuasi kama tunapata kuwa injili haifanyi kazi katika maisha yetu. M. Russell BallardMungu Yuko kwenye UsukaniMzee M. Russell Ballard anatukumbusha kwamba Mungu yupo kwenye usukani na kama tutashika maagano ambayo tumefanya, tutabarikiwa na kulindwa. Richard J. MaynesFuraha ya Kuishi Maisha ya KikristoMzee Maynes anaelezea jinsi kuishi maisha ya Kikristo kutatusaidia kuwa na amani, furaha, na shangwe hata wakati tunakabiliwa na dhiki. Neill F. MarriottKuridhia Mioyo yetu kwa Mungu Larry R. LawrenceMimi Nimepungukiwa na Nini?Mzee Lawrence anafundisha kwamba Roho Mtakatifu anaweza kutuambia kupitia ufunuo wa kibinafsi jinsi tunaweza kuboreka. Mzee Lawrence anafundisha kwamba maendeleo ya milele huanza katika maisha haya wakati tunamwomba Bwana kwa unyenyekevu kile tunahitaji kuboresha na kutenda kulingana na msukumo tunaopokea kutoka kwa Roho Mtakatifu. Tunaweza kukamilika na kutakaswa kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo. Francisco J. ViñasNeno la Kupendeza la MunguMzee Francisco J.Viñas anafundisha kwamba “neno la kupendeza la Mungu’ linaweza kutuponya maumivu yetu na kutongoza hata kwa uenzi wa Roho Mtakatifu kupitia toba ya dhati na endelevu. Quentin L. CookBarabara na Safi: Kuwa Mwenye Kustahili Hekaluni—Kwa Nyakati Nzuri Na Nyakati MbayaQuentin L. Cook anashiriki njia tatu tunazoweza kukuza wema binafsi na basi kupata furaha katika maisha haya na yale yajayo. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Henry B. EyringKuidhinishwa kwa Maafisa wa Kanisa Robert D. HalesKukabiliana na Changamoto za Ulimwengu wa LeoMzee Hales anawafunza vijana wazima kufanya uchaguzi wa busara kuhusu elimu, ndoa, na huduma ya Kanisani wanapopanga maisha yao ya baadaye. Jeffrey R. HollandTazama, Mama YakoJeffrey R. Holland anatoa shukrani kwa ajili ya nguvu, kujitolea, ushawishi, na upendo wa kina mama. Bradley D. FosterKamwe Si Mapema Sana na Kamwe Hatujachelewa SanaMzee Bradley D. Foster anatufundisha kwamba kamwe si mapema sana na kamwe hatujachelewa sana kuwafunza watoto wetu injili ya Yesu Kristo. Hugo MontoyaTunajaribiwa na kushawishiwa—lakini tunasaidiwaMzee Hugo Montoya anatukumbusha kwamba ingawa tutajaribiwa na kushawishiwa, tunaweza kusaidiana kushinda majaribu yetu kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo. Vern P. StanfillChagua NuruMzee Vern P. Stanfill anawahimiza waumini wa Kanisa kutafuta nuru na nguvu za kiroho kwa kutii ushauri wa kinabii, kutenda juu ya msukumo wa kiroho, na kutii ambayo amri za Mungu. James B. MartinoElder James B. Martino Dallin H. OaksKuimarishwa na Upatanisho wa Yesu KristoMzee Dallin H. Oaks anashuhudia juu ya uwezo wa Upatanisho wa Kristo kutuimarisha na kutusaidia katika machungu, mateso, udhaifu wa duniani. Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani Neil L. AndersenImani Si Bahati Nasibu, bali ni ChaguoMzee Andersen anajadili jinsi tunaweza kuchagua kuimarisha na kuilinda Imani yetu. Randall K. BennettHatua Yako InayofuataRandall K. Bennett anaelezea kanuni ambazo zitatusaidia kupiga hatua inayofuata kurudi kwenye kumbatio la upendo la Baba yetu wa Mbinguni na Mwokozi wetu. Dieter F. UchtdorfUsiogope, Amini TuRasi Dieter F. Uchtdorf anatuambia sisi kuwa kama Danieli na kuwa na ujasiri wa kuamini na kukinza wasiswasi na shaka za malimwengu. Kwa kufanya hivyo, tutakuwa na mwanga zaidi, ukweli, na amani katika maisha yetu. Henry B. EyringHaupo Peke Yako katika Kazi hiiRais Henry B. Eyring anawakumbusha wenye ukuhani kwamba huduma ya ukuhani inahusika na kuwasaidia watoto wa Mungu kurudi Kwake na kwamba Bwana yu pamoja nao katika huduma hiyo. Thomas S. MonsonZiweke AmriRais Thomas S. Monson anatuhimiza tutii amri na kuelezea baadhi ya baraka za kufanya hivyo. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Thomas S. MonsonUwe Mfano na NuruRais Thomas S. Monson anatufundisha kuwa “mfano wa waaminio” na nuru kwa ulimwengu. Kwa kufanya hivyo, tutasimama imara, lakini tunapomfanya Kristo kitovu cha maisha yetu, hofu yetu itabadilishwa na ujasiri. Ronald A. RasbandNinashangaa SanaMzee Rasband anaelezea shukrani na anashuhudia upendo wa Mwokozi na Upatanisho Wake, na anawahimiza Watakatifu wa Siku za Mwisho kufikia wengine kwa upendo. Gary E. StevensonUkweli ulio Wazi na Wenye ThamaniMzee Gary E. Stevenson anaeleza wito wake katika Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na anatoa ushuhuda wake kuhusu ukweli wa injili ulio wazi na wenye thamani. Dale G. RenlundKupitia Macho ya MunguDale G. Renlund anafundisha kwamba ili kuwahudumia wengine vyema, tunahitaji kuwatazama kama vile Baba wa Mbinguni anavyowatazama. Russell M. NelsonOmbi kwa Dada zanguRais Russell M. Nelson anasifia mchango unaofanywa na wanawake wa Kanisa na jumuiya. Anawahimiza wanawake washike maagano yao. Gregory A. SchwitzerAcha ya Baragumu IlieGregory A. Schwitzer anawahimiza Watakatifu wa Siku za Mwisho kushuhudia kwa ushupavu na kwa uwazi katika kutetea Kanisa na mafundisho ya Yesu Kristo. Claudio R. M. CostaKwamba Daima Wamkumbuke YeyeMzee Costa anafundisha jinsi kutafakari maisha na Upatanisho wa Kristo kunaweza kufanya sakramenti kuwa na maana zaidi na kualika uenzi wa Roho. Henry B. EyringRoho Mtakatifu Kama Mwenza WakoHenry B. Eyring anawahimiza waumini watafute uenzi wa Roho Mtakatifu, ambaye hutoa ulinzi, mwongozo, na faraja. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana D. Todd ChristoffersonKwa nini KanisaMzee D. Todd Christofferson anaelezea sababu kadhaa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho linahitajika ili kutimiza madhumuni ya Mwokozi. Devin G. DurrantMoyo Wangu Huyatafakari Siku ZoteDevin G. Durrant anawahimiza waumini kuweka akiba pesa kila wiki na kutafakari na kukariri maandiko kila wiki ili kuongezea nguvu na ulinzi wa kiroho. Von G. KeetchWaliobarikiwa na Wenye Heri ni Wale Wanaoshika Amri za MunguMzee Keetch anafundisha kwamba amri ni chanzo cha ulinzi na mwongozo wa kutusaidia kuwa kile Mungu anataka tuwe. Carole M. Stephens“Mkinipenda, Mtazishika Amri Zangu”Carole M. Stephens anafunza kwamba kwa kaumini na kufuata ushauri wa Baba yetu wa Mbinguni, Yesu Kristo, Roho Mtakatifu, na manabii wanaoishi, tunaweza kurudi salama na kwa furaha nyumbani kwetu mbinguni. Allen D. HaynieKumkumbuka Yule TunayemwaminiMzee Haynie anafundisha kwamba sisi sharti tuwe safi ili kurudi kuishi pamoja na Baba yetu wa Mbinguni, na kwa njia ya pekee ya kuwa safi ni kupitia Uptanisho wa Yesu Kristo. Mpango wa wokovu hujumuisha Mwokozi ambaye anaweza kutusaidia kuwa safi kupitia imani katika Yeye na kutubu dhambi zetu. Kim B. ClarkMacho ya Kuona na Masikio ya KusikiaMzee Kim B. Clark anashuhudia kwamba kama tutafungua macho na masikio yetu, Roho Mtakatifu atatubariki kumwona Bwana Yesu Kristo akifanya kazi katika maisha yetu. Koichi AoyagiShikilia Njia YakoMzee Koichi Aoyagi anatushauri tugeuze mioyo yetu kwa Mungu katika majaribu yetu ili kwamba tuweze kuyavumulia vyema na tufaulu mtihani wa maisha. David A. Bednar”Kuchaguliwa Kushuhudia Jina Langu”Mzee David A. Bednar anashiriki baadhi ya masomo ya maana ambayo yameelezwa na manabii na mitume.