Oktoba 2016 Kikao Kikuu cha Wanawake Kikao Kikuu cha Wanawake Jean B. BinghamNitaleta Nuru ya Injili ndani ya Nyumba YanguDada Bingham anafundisha kwamba tunaweza kushiriki nuru ya injili kwa kuwa wakarimu na wasio hukumu, na kukuza kipawa cha upendo. Carole M. StephensBwana MponyajiDada Stephens anashuhudia juu ya uwezo wa Mwokozi wa kutuponya, kutokana na vitendo vya wengine visivyo vya haki, na kutokana na shida za duniani. Bonnie L. OscarsonInukeni kwa Nguvu, Kina Dada Mlio SayuniDada Oscarson anawafundisha kina dada kwamba wanahitaji kuinuka na kuwa wanawake wa imani kwa kujifundisha na kuwa na ushuhuda wa mafundisho muhimu ya injili. Dieter F. UchtdorfGhorofa ya Nne, Mlango wa MwishoRais Uchtdorf anawahimiza kina dada kuishi kwa imani, watafute kwa bidii, watembee katika haki, na kumtafuta Mungu kwa mioyo yao yote. Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dieter F. UchtdorfEe Jinsi Gani Ulivyo Mkuu Mpango wa Mungu Wetu!Rais Uchtdorf anatuhimiza tusichukulie kama kawaida kweli za mpango wa Baba wa Mbinguni wa wokovu bali tuzikumbuke kwa mshangao na staha. Robert D. Hales“Njoo, unifuate” kwa Kufanya Upendo na Huduma ya KikristoMzee Hale anawahimiza wafuasi wa Yesu Kristo kubadilisha mabishano na upendo kama wa Kristo na ukarimu, ambayo itapunguza kuteseka kiroho. Carol F. McConkieMatamanio ya Roho ya DhatiDada McConkie anafundisha kwamba maombi yetu yanajumuisha washiriki watatu wa Uungu: tunaomba kwa Baba katika jina la Kristo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Craig C. Christensen“Mwonaji Mteule Nitamwinua Juu”Mzee Christensen anatukumbusha kwamba kupitia misheni iliyotabiriwa ya Joseph Smith kama Nabii wa Urejesho, tunafaidi matunda na baraka za Urejesho. Juan A. UcedaBwana Yesu Kristo Anatufundisha KusaliMzee Uceda anawahimiza waumini kuomba kutoka kwa moyo, kuomba kabla ya kufanya maamuizi muhimu, tukifahamu kwamba maombi wakati mtakatifu. J. Devn CornishJe, Mimi ni Mzuri vya Kutosha? Nitaweza Kweli?Mzee Cornish anaelezea kwamba almradi tunajaribu kuishi amri, kutubu, na kumtegemea Kristo, tutakuwa tunastahili kurudi kuishi na Mungu. Neil L. AndersenShahidi wa MunguMzee Andersen anafundisha kwamba tunapaswa kushiriki injili na wengine kwa kuwa mashahidi wa Mungu wakati wote na kila mahali. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Henry B. EyringKuidhinishwa kwa Maofisa wa KanisaRais Eyring anawasilisha majina ya Wakuu Wenye Mamlaka na Maofisa Wakuu wa Kanisa kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Quentin L. CookUjasiri katika Ushuhuda wa KristoMzee Cook anafundisha kwamba ili sisi tuwe jasiri katika ushuhuda wa Yesu Kristo, tunahitaji kuepuka vikwazo ambavyo vinatatiza maendeleo yetu. Gary E. StevensonGeukia Kitabu, Mgeukie BwanaMzee Stevenson anaelezea jinsi Kitabu cha Mormoni ni jiwe la tao la dini yetu na jinsi waumini wanaweza kupata uhushuda wake kwa kukisoma. Todd Christofferson“Kaaeni katika Pendo Langu”Mzee Christofferson anaelezea kwamba upendo wa Mungu hauna mwisho na ni wa milele lakini baraka Zake kuu zinapatikana kwa masharti ya utiifu. W. Mark BassettKwa Ajili ya Maendeleo Yetu ya Kiroho na KujifunzaMzee Bassett anafundisha jinsi subira, imani, na utiifu unaweza kutusaidia sisi kupata elimu ya kiroho. Kazuhiko YamashitaKuwa na Lengo Kuu kwa KristoMzee Yamashita anatutia moyo tuwe na “lengo kuu kwa Kristo” kwa kuhudumu kwa uaminifu na bidii bila kulalamika na kuvumilia majaribu yetu kwa furaha. Dallin H. OaksKushiriki na Wengine Injili ya UrejeshoMzee Oaks anafundisha kwamba kushiriki injili ni fursa ya furaha na anatoa mawazo ya kuwasaidia waumini kutimiza wajibu huu kwa ufanisi Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani Jeffrey R. HollandNjia Sahihi ya FurahaMzee Holland anawakumbusha viomgozi wa ukuhani juu ya umuhimu wa utchangaji kwa watu binafsi na familia kupitia ualimu wa nyumbani wa moyo.wa dhati. LeGrand R. Curtis JrKuna Nguvu katika KitabuMzee Curtis anafundisha jinsi kukuza ushuhuda wa Kitabu cha Mormoni kunaweza kukabariki maisha yetu na kutuleta karibu na Kristo. Dieter F. UchtdorfJifunzeni kutoka kwake Alma na AmulekiRais Uchtdorf awauliza wenye ukuhani kile ambacho wanaweza kujifunza kutoka kwa Alma katika kuwatafuta kina Amuleki, na ikiwa wamekuwa kama Amuleki katika uanafunzi wao. Henry B. EyringKwamba Naye Apate Kuwa Imara PiaRais Eyring anawahimiza wenye Ukuhani wa Melkizediki kuwasaidia wengine, hasa wenye Ukuhani wa Haruni, kujiandaa kwa ajili ya huduma ya siku zijazo. Thomas S. MonsonKanuni na AhadiRais Monson anashuhudia juu ya baraka ambazo huja tunaposhika Neno la Hekima. Kikao cha Asubuhi Jumapili Kikao cha Asubuhi Jumapili Thomas S. MonsonNjia Sahihi ya FurahaRais Monson anashuhudia ukweli wa mpango wa wokovu, ambao kitovu chake ni Yesu Kristo. Sisi tuna jukumu la kushiriki na kuishi ukweli huu. Russell M. NelsonFuraha na Kupona KirohoRais Nelson anafundisha kwamba tunaweza kuwa na furaha katikati mwa mazingira yoyote ikiwa tutazingatia juu ya Yesu Kristo na mpango wa wokovu. Peter F. MeursSakramenti Yaweza Kutusaidia Kuwa WatakatifuMzee Meurs anafundisha jinsi tunavyoweza kujiandaa vyema na kushiriki katika ibada ya sakramenti. Linda S. ReevesMpango Mkuu wa UkomboziDada Reeves anashiriki hadithi za watu ambao walihisi amani, furaha, na baraka za kutubu kwa dhati na kupokea Upatanisho wa Mwokozi. M. Russell BallardTwende kwa Nani?Mzee Ballard anatuomba tufikirie pale tutageukia ikiwa tutaliacha Kanisa la Yesu Kristo wakati imani yetu itajaribiwa. Kama tutatii, tutabarikiwa. Dean M. DaviesBaraka za KuabuduAskofu Davies anatufundisha kuabudu kwa kweli kwa Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo nini na jinsi tunavyoweza kuwa na baraka zinazoambatana. Lynn G. RobbinsMwamuzi Mwenye HakiMzee Robbins anashiriki umuhimu wa kuhukumu kwa haki na kufundisha na kurekebisha wengine kwa upendo, kama Mwokozi angefanya. Henry B. EyringShukrani Siku ya SabatoRais Eyring anafundisha kwamba siku ya Sabato ni wakati wa kuwa na shukrani kwa ajili ya baraka na kukumbuka na kutimiza maagano ya kuwahudumia wengine. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana David A. Bednar“Kama Mgenijua”Mzee Bednar anaelezea mchakato wa kuja kumjua Mwokozi, ambao hujumuisha kuifanyia kazi imani katika Yeye, kumfuata Yeye, kumhudumia Yeye, kumwamini Yeye. Brian K. AshtonMafundisho ya KristoNdugu Ashton anafundisha kwamba mafundisho ya Kristo hujumuisha imani, toba, ubatizo, sakramenti, kipawa cha Roho Mtakatifu, na kuvumilia hadi mwisho. Carl B. CookHudumuMzee Cook anafundisha kwamba ingawa miito ya Kanisa inaweza kuwa changamoto, tunabarikiwa tunapohudumu kwa imani na kujitolea. Ronald A. RasbandUsije UkayasahauMzee Rasband anaongea na wale ambao wanatafuta kuimarisha imani yao, akiwakumbusha wao upendo wa Mungu na kuwatia moyo wao kukumbuka na kuandika uzoefu wa kiroho. Evan A. SchmutzMungu Atayafuta Machozi YoteMzee Schumtz anashuhudia kwa tunapofanya imani katika Mwokozi, Yeye atatuinua na kutubeba katika majaribu yetu. K. Brett NattressHakuna Furaha Kubwa Zaidi ya Kujua Kuwa WanajuaMzee Nattress anasisitiza wale wote wawe na POS na waTGP = 4.66; Rev. Dale G. RenlundToba Chaguo la FurahaMzee Renlund anafundisha kwamba toba ni chaguo tunalofanya kwa sababu ya Upatanisho wa Mwokozi na kwamba kutubu huleta furaha.