Mkutano mkuu wa Aprili 2021 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonUjumbe wa MakaribishoRais Nelson anatukaribisha kwenye mkutano mkuu, anakumbusha jinsi Bwana anavyoharakisha kazi Yake na anatualika kuondoa uchafu kutoka kwenye maisha yetu ili kwamba tuweze kuwa zaidi wenye kustahili. Dieter F. UchtdorfMungu Miongoni MwetuMzee Uchtdorf anatufundisha sisi kuwa na tumaini, kutovunjika moyo, na kuona njia ambazo Mungu yu Miongoni Mwetu. Joy D. JonesMaongezi MuhimuDada Jones anarudia tena umuhimu wa kufundisha injili ya Yesu Kristo kwa watoto wetu. Jan E. NewmanKufundisha katika Njia ya MwokoziKaka Newman anasisitiza umuhimu wa kufundisha kama Mwokozi ndani ya Kanisa na ndani ya nyumba zetu. Gary E. StevensonMioyo Imeunganishwa PamojaMzee Stevenson anafundisha umuhimu wa ukarimu, upendo na heshima, akitoa ushauri mahususi kwa watoto, vijana na watu wazima. Gerrit W. GongGerrit W. GongElder Gong teaches that the Savior invites us to be good Samaritans who welcome all to His Inn (meaning His Church), where they can find refuge. Henry B. EyringNapenda Kuona HekaluRais Eyring anashuhudia juu ya baraka za kiroho ambazo huja kwa wale wanaohudumu hekaluni. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Dallin H. Oaks Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Jared B. LarsonRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2020Jared B. Larson anawasilisha Ripoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa kwa mwaka 2020. Jeffrey R. HollandSivyo kama Ulimwengu UtoavyoMzee Holland anafundisha kwamba tunaweza kupata amani katika Kristo, hata katikati ya migogoro na ubishi. Jorge T. BecerraMaskini HawaMzee Becerra anafundisha umuhimu wa kutunzana mmoja kwa mwingine na kutambua kwamba sisi sote tunahitajika katika ufalme wa Mungu. Dale G. RenlundYasiyo Haki Yenye KughadhabishaMzee Renland anafundisha kwamba hatupaswi kuruhusu ukosefu wa haki kutufanya tuwe na machungu au kuharibu imani yetu bali tunapaswa kumwomba Mungu msaada na kuongeza utegemezi wetu juu ya Mwokozi. Neil L. AndersenSafari Binafsi ya Mtoto wa MunguMzee Andersen anafundisha kwamba watoto wa kiroho wa Mungu wanakuja duniani kwa safari yao binafsi na kwamba tunapaswa kuwakaribisha wao, kuwalinda, na kuwapenda. Thierry K. MutomboMtakuwa HuruMzee Mutombo anafundisha kwamba Yesu Kristo ni nuru ya Ulimwengu na kwamba Yeya anaweza kutuongoza tukiwa gizani na katika nyakati za tabu. M. Russell BallardTumaini katika KristoRais Ballard anashiriki kanuni tano za msingi ambazo zinaweza kumsaidia mtu yeyote ambaye ni mpweke, ikihusisha wale ambao hawajaoa wala kuolewa, kupata tumaini katika Yesu Kristo. Mkutano Mkuu wa Ukuhani Mkutano Mkuu wa Ukuhani Quentin L. CookQuentin L. CookElder Cook teaches about how bishops care for members of the rising generation in their wards. Ahmad S. CorbittUnaweza kuikusanya Israeli!Kaka Corbitt anatufundisha kwamba vijana wa Kanisa wanaweza kusaidia kuikusanya Israeli mara tu wanapoelewa utambulisho wao wa kweli na nguvu ya kipekee. S. Gifford NielsenS. Gifford NielsenElder Nielsen reminds us that we can take courage in the thought that we have been sent here by Heavenly Father at this decisive time in history in order to fulfill His purposes. Henry B. EyringBariki katika Jina LakeRais Eyring anawafundisha wenye ukuhani kwamba kusudi la kupokea ukuhani wao ni kubariki watu kwa niaba ya Bwana na katika jina Lake, kupanua miito yao kwa upendo na bidii. Dallin H. OaksJe, Mwokozi Amefanya Nini kwa ajili Yetu Sisi?Rais Oaks anafundisha kwamba Yesu amewezesha kwa kila mmoja wetu kurudi kwa Baba yetu wa Mbinguni na kupata kudura yetu ya milele. Russell M. NelsonNi Kipi Tunachojifunza na Kamwe HatutakisahauRais Nelson anafundisha masomo mannne anayotumaini kwamba tumejifunza wakati wa janga la ugonjwa. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Ulisses SoaresUlisses SoaresElder Soares teaches about Jesus Christ, His Atonement, and the gift of repentance. Reyna I. AburtoReyna I. AburtoSister Aburto testifies of the Resurrection of Jesus Christ and that His Atonement helps us overcome sorrow and find hope. S. Mark PalmerS. Mark PalmerElder Palmer testifies of the Resurrection and shares how his parents joined the Church. Edward DubeKukaza Mwendo, Kuifikilia MedeMzee Dube anatuhimiza kufokasi kwenye lengo letu la uzima wa milele tukiwa na Mungu, bila kujali changamoto zinazoletwa na maisha haya. José A. TeixeiraIkumbuke Njia yako ya Kurudi NyumbaniMzee Teixeira anafundisha umuhimu wa kumfuata Mwokozi wakati tunapofanya kazi kuelekea kwenye kurudi nyumbani kwetu mbinguni. Taniela B. WakoloTaniela B. Wakolo Chi Hong (Sam) WongChi Hong (Sam) WongElder Wong teaches that we cannot fall if we build our foundation on Jesus Christ. Michael John U. TehMwokozi Wetu BinafsiMzee Teh anafundisha umuhimu wa kupata kumjua Mwokozi na kuwa na shukrani kwa Upatanisho Wake kwenye kiwango cha mtu binafsi. Russell M. NelsonKristo Amefufuka; Imani Kwake Itahamisha MilimaRais Nelson anashuhudia juu ya nguvu ya imani katika Yesu Kristo katika kutusaidia sisi kushinda changamoto za maisha. Anapendekeza njia tano ili kutusaidia sisi kukuza imani iliyo imara. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Dallin H. OaksKuilinda Katiba Yetu Takatifu Yenye UvuvioRais Oaks anaelezea kanuni takatifu zenye uvuvio katika katiba ya Marekani. Anafundisha jinsi Watakatifu wa Siku za Mwisho wanaweza kulinda kanuni hizi. Ronald A. Rasband“Tazama! Mimi ni Mungu wa Miujiza”Mzee Rasband anashuhudia kwamba miujiza inaendelea kubariki wafuasi wa Yesu Kristo, kulingana na imani yetu na mapenzi ya Mungu. Timothy J. DychesNuru Huambatana na NuruMzee Dyches anafundisha kwamba Yesu Kristo ni Nuru na Uzima wa Ulimwengu na ni chanzo cha furaha na amani. D. Todd ChristoffersonKwa Nini Njia ya AganoMzee Christofferson anaelezea mambo matano ya kile inachomaanisha kuwa kwenye njia ya agano na anatuhimiza kutii wito wa nabii wa kubakia kwenye njia. Alan R. WalkerAlan R. Walker David A. BednarDavid A. BednarElder Bednar teaches that correct gospel principles help us make wise choices and stay on the covenant path. Russell M. NelsonCOVID-19 na MahekaluRais Nelson anazungumza kuhusu ufunguzi mpya wa mahekalu na anatangaza mipango ya kujenga mahekalu mapya.