2021
Matukio huko Ghana pamoja na Margo na Paolo
Januari 2021


Matukio huko Ghana pamoja na Margo na Paolo

Picha
photos of places from Ghana

Habari! Agoo! Sisi ni Margo na Paolo.

Tunatembelea nchi mbalimbali na kujifunza jinsi watoto wanavyoweza kusaidia!

Ghana ni sehemu nzuri sana. Hasa kama unapenda tembo …

Na mpira wa miguu …

Na vipepeo. Mbuga ya wanyama moja nchini ghana ina aina tofauti 450!

Tumejifunza mengi kuhusu Ghana.

Hatuwezi kusubiri kuona wapi tutakwenda baadae!

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha