2021
Malengo na Ukuaji
Januari 2021


Hadithi Yangu

Malengo na Ukuaji

Picha
journal page

Ukuaji ni jambo la kufurahisha! Andika kuhusu kile ambacho tayari umejifunza. Kisha weka lengo jipya kwa ajili ya baadae.

Je, uliwezaje kujifunza kufanya kitu ambacho hukuweza kufanya wakati ulipokuwa mdogo?

Je ni kipi ungependa kuwa na uwezo wa kukifanya mwaka ujao.

Je, nani anaweza kukusidia kwenye lengo hili?

Chora picha yako ukitimiza lengo lako!

Chapisha