2021
Wapendwa Wazazi
Januari 2021


Wapendwa Wazazi,

Picha
letter to parents

Kuanzia sasa, jarida la Rafiki litaifikia hadhira ulimwenguni kote, na litakuwa na masimulizi na shughuli zaidi kuliko hapo awali kwa ajili ya wasomaji kote ulimwenguni! Hivi ni baadhi ya vitu vya kuburudisha vya kushiriki na familia yako mwaka huu.

  • Jiunge katika juhudi ya ulimwenguni kote ya kusaidia wengine, kama vile Yesu alivyofanya (ukurasa 2-7).

  • Tumia chati ya usomaji wa Mafundisho na Maagano (ukurasa 16–18).

  • Tumia hadithi ya kimaandiko (ukurasa wa 30) ili kusaidia katika Njoo, Unifuate.

Heri ya Mwaka Mpya!

Jarida la Rafiki

P.S. Ni nchi ngapi ziko katika toleo hili? Cheza mchezo wa kutafuta bendera (ndani ya jalada la mbele) pamoja na watoto wako ili kuzipata zote!

Chapisha