2021
Msikilize Yeye
Januari 2021


Changamoto kwa ajili ya kusomaji Mafundisho na Maagano.

Msikilize Yeye

Picha
color by number pictures of Joseph Smith

Mwaka huu unaweza kusikia sauti ya Yesu Kristo wakati ukisoma kuhusu jinsi Alivyorejesha Kanisa Lake! Soma mistari kwenye ukurasa wa 18 kwa ajili ya kila wiki Kisha paka rangi kwenye sehemu zinazooana kwenye chati hii ya usomaji

“Huyu ni Mwanangu Mpendwa. Msikilize Yeye!”

Chati ya Kusoma ya Mafundisho na Maagano

Picha
weekly scripture reading

Mistari hii inaendana na masomo ya Njoo, Unifuate kwa kila wiki katika mwaka 2021. Soma mistari hii kutoka sehemu za Mafundisho na Maagano na maandiko mengine na kisha paka rangi kwenye sehemu ya kuoaninisha kwenye ukurasa wa 16-17

  1. Sehemu ya 1:37–38

  2. Joseph Smith—Historia ya 1:15–17

  3. Joseph Smith—Historia ya 1:30–34

  4. Sehemu ya 4:1–7

  5. Sehemu ya 6:34–37

  6. Sehemu ya 10:5, 69

  7. Joseph Smith—Historia ya 1:68–71

  8. Sehemu ya 14:5–7

  9. Sehemu ya 18:10–13

  10. Sehemu ya 20:75–79

  11. Sehemu ya 25:10–13

  12. Sehemu ya 27:15–18

  13. Sehemu ya 29:1–6

  14. Sehemu ya 19:16–19, 23–24

  15. Sehemu ya 33:12–16

  16. Sehemu ya 39:20–23

  17. Sehemu ya 42:12–14, 17

  18. Sehemu ya 45:7–9

  19. Sehemu ya 46:10–12, 32–33

  20. Sehemu ya 50:40–46

  21. Sehemu ya 51:13, 19

  22. Sehemu ya 59:9–12

  23. Sehemu 61:36–37; 62:3

  24. Sehemu ya 63:8–10

  25. Sehemu ya 64:33–34

  26. Sehemu ya 68:5–6

  27. Sehemu ya 75:5, 16

  28. Sehemu ya 76:19–24, 40–41

  29. Sehemu ya 78:17–19

  30. Sehemu ya 81:5–6

  31. Sehemu ya 84:46–47, 62, 88

  32. Sehemu 86:11; 87:8

  33. Sehemu ya 88:123–125

  34. Sehemu ya 89:1, 18–21

  35. Sehemu ya 93:24, 28, 36

  36. Sehemu ya 97:15–16, 21

  37. Sehemu ya 101:16, 32, 36

  38. Sehemu ya 105:39–41

  39. Sehemu ya 107:6, 8, 13

  40. Sehemu ya 110:1–10

  41. Sehemu ya 112:10–11

  42. Sehemu ya 119:4, 6–7

  43. Sehemu ya 121:7–9, 45

  44. Sehemu ya 124:40–43

  45. Sehemu ya 128:22–23

  46. Sehemu ya 130:20–22

  47. Sehemu ya 133:25, 32–33

  48. Sehemu ya 135:3

  49. Sehemu ya 137:7–10

  50. Makala za Imani

  51. “Familia: Tangazo kwa Ulimwengu,” aya 1–2, 7

  52. “Kristo Aliye Hai,” aya 1,12–13

Kitabu cha Mormoni

Kielelezo na Jared Beckstrand

Chapisha