Kitu cha kuburudisha
Kitafute!
Picha
children and others working on family history
Watoto hawa wa Msingi huko Ujerumani walikuwa na siku ya historia ya familia! Tafuta picha 5 za kale na mikasi 10. Kisha tafuta vitu vingine vilivyofichwa.
Kielelezo na David Helton