2021
Muda wa Familia wa Hadithi
Januari 2021


Muda wa Familia wa Hadithi

Picha
mom telling bedtime story to daughter

María hupenda kujifunza kuhusu familia yake!

Kila usiku Mama humsimulia hadithi ya familia.

María hujifunza kuhusu wakati Mama alipokuwa msichana mdogo huko Mexico.

Hujifunza kuhusu wakati Babu alipokutana na wamisionari.

Hujifunza hata kuhusu Babu wa babu!

Hadithi za familia ni kitu kizuri sana!

Kitatafute!

Maria na kaka yake wakitoa somo kwa ajili ya jioni ya familia kuhusu historia ya familia yao. Je unaweza kuupata mduara wenye ramani ya ulimwengu, riboni, kitana, miwani, penseli, ufunguo na paka?

Vielelezo na Emma Hazel Latham

Chapisha