2021
Joseph Smith na Mabamba ya Dhahabu
Januari 2021


Hadithi za Maandiko

Joseph Smith na Mabamba ya Dhahabu

Picha
Joseph Smith teaching

Joseph Smith alikuwa Nabii. Alimsaidia Yesu Kurejesha Kanisa Lake Ulimwenguni.

Picha
Heavenly Father and Jesus appearing to Joseph

Joseph alisali ili kujua kanisa lipi angejiunga nalo. Yesu alisema asiende kwenye kanisa lolote. Hakuna hata moja lililokuwa kanisa Lake.

Picha
Joseph holding the gold plates

Malaika Moroni alimtembelea Joseph. Moroni alimwambia kuhusu kitabu maalum kilichoandikwa kwenye mabamba ya dhahabu. Kilikuwa kimezikwa kwenye kilima jirani.

Picha
Joseph translating gold plates

Kwa msaada wa Baba wa Mbinguni, Joseph alitafsiri maandishi yaliyokuwa kwenye mabamba. Maandishi haya yalikuja kuwa Kitabu cha Mormoni!

Picha
children at church together

Sasa tunaweza kusoma Kitabu cha Mormoni. Na tunaweza kwenda kwenye Kanisa la Yesu Kristo! ●

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha